Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Darius mpaka huku umefika...angalia wackufkuze mkuku-mkuku c unajua ur fameless humuhili ndo jukwaa special for celebrites!! Napitaaa tuuu
Mi nimefungiwa na jimama langu huku kigamboni toka juzi hata cjui dunia inaendaje. Kweli kuwekwa kimada balaa
Nilipiga mgahawa mmoja huko nchi za watu nikaomba nipigiwe bongofleva nikapigiwa 'chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi'
Tuliserebuka mpaka asubuhi
Washa tv.....utakutana na tangazo la je mpo wangapi?
Mi nipo mbuga ya wanyama Mikumi. Nyimbo ninazosikia usiku huu wa manane kutoka porini ni Kinanaaaaa......Kinanaaaaa.....Kinanaaaaaaa...tuhurumieeeeee.....tuhurumieeee