Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
hahahhaha dah nimecheka sana kwa comment za humu,nimeenjoy sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi Nilikuw mbinguni nikaingia kunywa chai mgahawa fulan hivi.. kwa vile tulikuw mataifa mengi. . Nikaomba kupigiwa nyimbo za dini... RC, ROSE MUHANDO... Zote za kiswahili zilipigwa
Washa tv.....utakutana na tangazo la je mpo wangapi?
Mi nimefungiwa na jimama langu huku kigamboni toka juzi hata cjui dunia inaendaje. Kweli kuwekwa kimada balaa