Alikiba juu

hahahhaha dah nimecheka sana kwa comment za humu,nimeenjoy sana
 
Na mimi Nilikuw mbinguni nikaingia kunywa chai mgahawa fulan hivi.. kwa vile tulikuw mataifa mengi. . Nikaomba kupigiwa nyimbo za dini... RC, ROSE MUHANDO... Zote za kiswahili zilipigwa

....umetisha
 
Mimi niko Saudi Arabia nyimbo ninazozisikia ni za Rose Muhando na Shusho........
 
Nipo hapa sudan kaskaz,nimeingia kwenye mgahawa nimekuta wanapiga wimbo wa joto hasira wa jide.
 
Haa ha ha haaa..napita tuu,jf uwa inanipa raha sana ninapokua katika sorrow period
 
Leo mmenifurahisha sana, nimecheka mpaka mbavu zimeniuma na kusahau matatizo yangu. Kweli JF ni kisima cha burudani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…