Alikiba kama Donald Trump, Soundcity wampa heshima hii leo

Kupanda kwa mmoja sio lazima iwe kushuka kwa mwingine. Kwa nini Watanzania mnataka muwe na star mmoja tu wa kimataifa? acheni ushamba na roho mbaya. Waungeni mkono wote wawili waende juu, juu na juu zaidi. Na wengine waongezeke. ...Mnakera!!!
 
Ila mimi ningewashauri style ya kuimba na CD show waache watakuja kuanguka vibaya. Mimi binafsi siwezi kuingia show halafu CD playback. Lazima wajiangalie waje real live music.
Unachokisema ni kweli na ni kizuri sana,lakini nikuambie kitu kimoja duniani kote wasanii walio wengi wanakuwa na tofauti ya bei ( bei ya live band ni kubwa mno na ya play back ni nafuu) pindi unapomuhitaji kwenye shoo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…