Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachokisema ni kweli na ni kizuri sana,lakini nikuambie kitu kimoja duniani kote wasanii walio wengi wanakuwa na tofauti ya bei ( bei ya live band ni kubwa mno na ya play back ni nafuu) pindi unapomuhitaji kwenye shoo yako.Ila mimi ningewashauri style ya kuimba na CD show waache watakuja kuanguka vibaya. Mimi binafsi siwezi kuingia show halafu CD playback. Lazima wajiangalie waje real live music.