Alikiba kama ni dharau basi hizi hapa zimezidi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Habari wakuu!
Muda huu nipo hapa chaderz records Dar, Nimepata upenyo wa kusikiliza Audio ya Wimbo wa Alikiba x Christian Bella, kwakwel kama ni kufuru basi hii ni zaidi ya laana, kama ni dharau basi kwa hili Alikiba umezidisha dharau kwa watanzania.

Wakuu yani ukisikia kuanzia maadhi ya beat (Ule u-afro pop plus mixing gitar), ukija vocal zenye peach ya hali ya juu upande wa Kiba n Bella, kwakweli hii ni zaidi ya kawaida.

Siongei haya kwa ushabiki au ku exaggerate mambo ili nimpaishe kiba HAPANA, bali huu ni ukwel usio na shaka kuwa huu wimbo ni miongon mwa nyimbo ambazo zitakwenda kuishangaza Tanzania na Africa, ni wimbo mzuri hakuna mfano hasa hiz Melody ndo kabisa nimechoka, kwa hili acha tu niendelee kumuita kiba ni Mfalme sababu kipaji chake cha ajabu ni uncompromised and uncomparable with other Bongo Artists.

Naomba tu Mungu kwenye video asituangushe.

kama ni matusi basi hii ni laana.

VIVA #Kingkiba
#Nagharamia
#Rockstar4000presents
 
Mkuu ungeweka hio audio ndo tungeelewa unachosema
 
Weka audio

Hapana mkuu kuweka Audio hapa ni makosa sababu bado officially release, mi mimeonjeshwa tu sasa si busara kuanza kupakua chakula kabla ya ruhusa ya wenyeji wangu.
 

Kiba ana kipaji zaidi ya wasanii wengi tu wanaovuma kuliko yeye.
Ila ni mtu aliyekosa ubunifu na kujituma,...ila naona now is comming.
 
😆😆😆😆😆😆Hizi timu zitauwa watu
 
TUSipo pata mabadiliko ndani ya timu daimond tutayapata nje ya timu kiba
 

Haya team kiba tumekuelewa.Labda una jingine au ni hilo tu???
 
Ninajarib kuwacompare kiba na Bella sjui itakuaje saut zao
 
Kachukue pesa yako ya posho kwa kiba....maaana we ndio kubarua chako
 
Futa vumbi tu nyambavuu! na kama vp waambie wakapime DNA
 
Sijawahi kuwa na shaka na release yoyote kutoka kwa Kiba au Kiba akiwemo.
Nasubiri kitu cha uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…