AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Habari wakuu!
Muda huu nipo hapa chaderz records Dar, Nimepata upenyo wa kusikiliza Audio ya Wimbo wa Alikiba x Christian Bella, kwakwel kama ni kufuru basi hii ni zaidi ya laana, kama ni dharau basi kwa hili Alikiba umezidisha dharau kwa watanzania.
Wakuu yani ukisikia kuanzia maadhi ya beat (Ule u-afro pop plus mixing gitar), ukija vocal zenye peach ya hali ya juu upande wa Kiba n Bella, kwakweli hii ni zaidi ya kawaida.
Siongei haya kwa ushabiki au ku exaggerate mambo ili nimpaishe kiba HAPANA, bali huu ni ukwel usio na shaka kuwa huu wimbo ni miongon mwa nyimbo ambazo zitakwenda kuishangaza Tanzania na Africa, ni wimbo mzuri hakuna mfano hasa hiz Melody ndo kabisa nimechoka, kwa hili acha tu niendelee kumuita kiba ni Mfalme sababu kipaji chake cha ajabu ni uncompromised and uncomparable with other Bongo Artists.
Naomba tu Mungu kwenye video asituangushe.
kama ni matusi basi hii ni laana.
VIVA #Kingkiba
#Nagharamia
#Rockstar4000presents