Alikiba kama ni dharau basi hizi hapa zimezidi

Mkali kuliko wa cheketua na mwana?
 
Alikiba siyo mtu wa kawaida huyu nyie ohooo...nahisi nusu mtu nusu jini huyu jamaa...kweli nawaambia
 
Haiwezi kubamba ....mchanganyiko wao wa sauti siyo kivile...wote wanaimba katika sauti kali za juu...
 
Tutaupata wapi Na wengine tuusikilize,hapa nahahaaaa...nitausaka kila kina mpaka niusikie.
 
Sijawai kudoubt uwezo wa Alikiba na Bella..wimbo lazima uwe mzuri sana wote wakali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…