Alikiba kawakataza Kings Music kufanya interviews Wasafi Media?

Sio ngozi nyeusi.
Ni huku tanzania uswahili ndio umetujaa. Kwa sababu tunapenda kutambiana sasa ukipewa sapoti utafanikiwa kama yeye au utamzidi. Atamtambia nani tena?
Hivi ni kwanini watu wenye ngozi nyeusi ni mara chache kukuta tunapena support ?
 
Sisi wazee wa ngumu tuna cmnt wapi

Ova

😂 hapa hapa. As long as tunazungumzia maendeleo biashara ya muziki nchini. kuna siku hip hop artist atafanya kama alichofanya diamond kumiliki taasisi kama hatakuwa na mawazo kama ya alikiba.
 
[emoji23] hapa hapa. As long as tunazungumzia maendeleo biashara ya muziki nchini. kuna siku hip hop artist atafanya kama alichofanya diamond kumiliki taasisi kama hatakuwa na mawazo kama ya alikiba.
Huwa siwaelewagi hao
Hpa nalisikia goma la battle for Africa,Nikki mbishi,wakazi na kuna majama wengine wanatema hatari

Ova
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli.

Moja ya vitu vinavyopaswa kubadilika Tanzania ni hicho, muziki sio bifu wala ugomvi...Muziki ni biashara, uwe fan wa alikiba au wa diamond biashara ya muziki haitambui hayo mengine zaidi ya maendeleo na faida kwa pande zote mbili bila vikwazo.
 
Haya maneno yako mwenyewe au umekopi kwa Da Mange
 
Alikiba Amshukuru sana Ruge.. Maana alimbeba kisawasawa ili kumkomoa domo! Kama si ruge kiba angeshapotea kwenye ramani zamani sanaaa.. Naona clouds wanaendelea kumpa kiki japo jamaa anatoa manyimbo yasiyoeleweka kabisa siku hizi! Mpaka youtebe
Viewers wamemgommea!
 
Alikiba bifu na diamond ndo lilimrudisha sokoni,hatakubali bifu liishe,hivi likiisha na wakawa marafiki alikiba atapata wapi attention?hatengenezi scandal wala kiki,mwisho wa siku atakuwa kama Mavoko
Yeye kama kaamua kufanya mziki kama hobby aache wanaofanya kama biashara waendelee, sio kuweka weka majungu na hizi radio zinazomsupport.
 
Kwahyo kutoona hao kings music wakifanya inyerview wasafi ndo ushaconclude lwamba alikiba kawakataza??duuu
 
Ukiwa na roho mbaya mkuu ndio unakuwa hivyo. Kifupi alikiba anaumia na mafanikio ya mond. Akiangalia yeye ameanza mziki miaka 10 kabla ya mondi. Hicho ndio kinamuuma. Uzuri mond ashampuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…