Alikiba kawakataza Kings Music kufanya interviews Wasafi Media?

Alikiba kawakataza Kings Music kufanya interviews Wasafi Media?

Mwaka wa ngap mnasema hivyo na bado king anaendelea mbna hamjawah mshaur diamond akatafute suluhu na CLOUDS ili nyimbo za kina LAVALAVA wasiohusika zipigwe???..acheni zenu mnapuyanga mnamtafutia mtu USHINDI??
Best komed hawa jamaa timu domo ni manyumbu kweli..
 
kweli kabisa mkuu. Kwa Tanzania nathubutu kusema kwamba Wasafi media & record label pekee ndo wametuprove wrong kuwa bifu ni bifu na biashara ni biashara so havifuatani pamoja. Kwa jinsi navyomuona Diamond yupo tayari kuruhusu Kings music wapige shoo wasafi festival na kulipwa vizuri tu kama wasanii wengine ila Alikiba hiko kitu hataki sasa hiyo ni akili au matope? yule jamaa akili hana, akae chini na professionals wamfunze biashara inakwendaje.
Wale jamaa Ali Kina akienda wanam maliza musically,halafu mbona Ali Kina huwa hana time nao wana kuwa kama wanamtaja taja fata fata duh.Na hapa kwa nini mnakuwa kama mnataka Mo auze Azam Cola. 2pac enzi zake akapige show na BIG,man mpaka settlements za beef zifanyike.Next thing wakimzingua jamaa atatia ban wasafi wasipige nyimbo zake
 
Back
Top Bottom