3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Ukimchagulie mtu jinsi ya kuishi we ndio utakuwa mshambaDiamond anajua biashara na hapendi bifu ila huyo mtu wa kale ni mnafki na mswahili mwenyewe roho mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimchagulie mtu jinsi ya kuishi we ndio utakuwa mshambaDiamond anajua biashara na hapendi bifu ila huyo mtu wa kale ni mnafki na mswahili mwenyewe roho mbaya.
WCB mbona wanafanya vzr tu kwenye music... sjui Ali kiba wanamtaka wa nini?acha umbea wewe.yaani umekaa ukajitungia mawazo yako kichwani kisha ukahitimisha.
sema ni lini kiba amewakataza vijana wake wasifike hapo???
huyo diamond pamoja na nyinyi kusema amefanikiwa sana,yeye kutwa kujieleza either kwa vijembe au mafumbo kwamba yeye ni mkali,sijui ana wasi wasi wa nini???
kiba anaishi maisha yake yanayomfaa yeye,kama kufanya interview wasafi ndio njia ya kufanikiwa kimziki basi wasanii wengi tu wangeishapotea.
We unaowazidi life wote mko nao sawa?... Af Mond ni nani kila mtu mnataka apitie kwake?Beef linakuja sababu mond ana mafanikio zaid yake
Mkuu hawa watu kuna siku mond atawawekea soksi chafu mdomo awambie waziteme zikiwa safi..kwanini kiba ndiye aonekane kukerwa zaidi na hayo mafanikio wakati kuna wasanii zaidi ya 50,wao hawakereki????
na je mmejuaje alikiba anahitaji kufanikiwa kama mond,kuwa na mabodyguards nk!!!
Amevunja amri gani ya Mungu hapo..?Ndio maana instagram yake Hana watu Alio wafuata hata mmoja
Eti studio na kukaa Beneti na Bashite.eti kiba hana mafanikio kama mond,sijui mafanikio kwa watu wengine ni kitu gani[emoji16][emoji16][emoji16].
Malimbukeni tu hao mkuuukiniona mnafiki mimi nakuona mjinga.
unajua ni kwanini???kiba anazo pesa,kiba anazo gari,kiba anazo nyumba,kiba ana familia na ndoa kafunga.
kama kufanikiwa kwa diamond ni kumzidi kiba si diomond pekee aliyemzidi kiba sawa kijana???kwa kukosa hoja kwa namna hii ndio kunakofanya mnakuja na mitazamo yenu humu,iwe ndio hali halisi.
Wao wanataka aende Wasafi sjui wanataka wamfanyeje?..TV stations ziko nyingi, Radio stations ziko nyingi. Kwa nini hamuhoji ajaenda TBC
Suppose kungekua na TV stations 20 nchini zinazodeal mainly na music ina maana kila akitoa nyimbo azunguke kote kufanya interview?
ulivyoandika utafikiri PA wa kibaHabari zenu wananzengo,
Guys hili bifu la mondi na kiba bado lipo pale pale, wale wanaosema hawa jamaa hawana mabifu basi wanajidanganya tu.. Jiulize ushawahi kuwaona vijana wa Kings music wakitambulisha ngoma zao mpya wasafi media? ila cha ajabu wasafi tv na radio wanapiga ngoma za hao kings kila siku hadi ngoma zao mpya zinachezwa bila hata official interviews/release kwa wasafi. Sawa una bifu na mondi hata uzao wako usijihusishe na chochote kinachohusiana na mondi hata kama kina faida kwao kibiashara? Kumbe bifu binafsi na biashara huwa vinakwenda pamoja? Alikiba badilika biashara haiendi hivyo hata kidogo waache vijana wako wawe huru kwenda popote as long as hawavunji/hawavunjiwi heshima kwako na kwa wengine. Big up kwa Wasafi Media, ile ni media ambayo ipo huru Tanzania haijalishi uwe na bifu na mmiliki wake au la wewe ngoma zako zitapewa airtime everyday labda wewe mwenyewe uwaambie waache kupiga. Compared to clouds, East Africa radio, efm, wote tunajua hizo media ukikorofishana na presenter au hata mfagia ofisi kwa mambo yenu binafsi basi Department zote haijalishi tv au radio watasitisha kucheza ngoma zako mara moja! VERY UNPROFESSIONAL. Entertainment media za kibongo zijifunze kwa wakenya wanafanyaje hizi kazi, wenzetu hawaendeshi media zao kwa mihemko.
![]()
Wao shida yao ni Kiba tu.. kama kawabakia dada zaoKama Wana magari,nyumba etc hyo mafanikio tosha sasa sjui hao mashabiki wanataka nn zaidi
Maana kuna wasanii wanaimba hawana mafanikio +hawadumu kwenye game
Ova
ukiniona mnafiki mimi nakuona mjinga.
unajua ni kwanini???kiba anazo pesa,kiba anazo gari,kiba anazo nyumba,kiba ana familia na ndoa kafunga.
kama kufanikiwa kwa diamond ni kumzidi kiba si diomond pekee aliyemzidi kiba sawa kijana???kwa kukosa hoja kwa namna hii ndio kunakofanya mnakuja na mitazamo yenu humu,iwe ndio hali halisi.
Kiba hajaanza mziki leo na hawezi kupotea kwa kusema wewe ndugu...Hatupo hapa kutoana mapovu ni kueleweshana tu kama wadau wa muziki, sasa huyo domo ndo nani kiongozi? punguza chuki kwa Diamond. Huyo msanii wako sio malaika kusema hakosei anakosea sana na akikosea haambiwi ila mnaishia kumsifia tu which is wrong. Mafanikio ya Diamond yanachangiwa na kuambiwa ukweli na kujishusha kwa watu wengine. Endeleeni kumdanganya Kiba mnazidi kumpoteza jamaa.
Kiba anajishughulisha na Mond?... mbona mnajinyea hv.KIBA nyooooooooooooo"
malizia jitukane kabisa"
Na ahakikishe hapatani na diamond ila siku akajiloga akapatana na mwenzake KESHO yake atakuta kashakatiwa ticket za kurudi shamba kulima.
UGOMVI huu mnufaikaji ni ALIKIBA tena anapata faida kubwa sana sana sana..and he knows that...The only thing Mond can do ni kuhakikisha haendelezi bifu..yani ampende hadi raia washangae..anaekuchukia dawa yake usijishughulishe nae.
Kwa hiyo wewe akili yako ndio hii?Ali kiba mwenyewe hana akili unatarajia nini?
Achana nao hao miungu watuKwani ulize wasafi tu je ushawaona wakijitambulisha tbc fm,RFA au jembe ni jembe we umeona wasafi tu.Au hiyo wasafi fm iliku inform kuwa walisha wahi kuwaalika hao madogo wakakataa..
Usipoenda Wasafi umevunja sheria?tbc washaenda mkuu
sawa bobrisky naona umeamua kupromote unachokipendaKama anakula kwako poa... tofauti na hapo we shoga labda ulipigwa mkopo
Imekuingia haswaasawa bobrisky naona umeamua kupromote unachokipenda