Alikiba kuisimamisha dunia August 25

Au mleta mada alikiwa anamaanisha dunia itasimama mwaka 2025
 
Alikiba naipenda sana ile nyimbo yake ya mdogo mdogo na nasema nawee jamaa anajua sana mziki
 
Huyu jamaa ana page yake instagram eti mchambuzi wa mziki,kumbe mahaba.Nyimbo ya msanii anaye mpenda atacomment mashairi 100%,Melody 100%,Vocal 100% beat 100%.

Sasa WCB wakitoa nyimbo atacomment "kwani nyie mnaonaje".

Sasa bora hili kaburi,kuna kaburi lingine hili hapo chini.Jamaa mapenzi yake yamepitiliza na kufikia kiwango cha MAHABA.


Threads zote kafungua yy kaamua kuzikimbia au labda amebadilisha ID.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…