Alikiba kuisimamisha dunia August 25

Alikiba kuisimamisha dunia August 25

Kila kitu wanasubiri Diamond afanye na wao ndio wafanye, Diamond kapeleka 20ml GSM ati wao wakapeleka 21ml. Mnamtesa tu Ali Kiba maana uwezo wenyewe zero,bado anaishi kwa mama na umri umemkimbia. Hiyo 21ml si angenyanyua hata msingi wa nyumba.
Ali kiba kwa sasa mafanikio yake yapo mgongoni mwa diamond, amini usiami ndio ukweli huo. maana kila anachofanya diamond ndio nae kiba anaiga anamopita dai nakuacha ndio nae kiba anakuja kujifariji. mademu wazamani wa dai ndio wanampaisha kiba. Kwa kifupi dai ikitokea labda mungu kampenda zaidi, basi nae kiba kwishinei. Hivi Ali kiba kwa Dai nini atajiringanisha? Kazidiwa kila kitu nyimbo Kali, mkwanja ,mpaka mademu anakuja kubemba ma-x wa dai.
 
Haahhah wanaelewa ilaa kiburii tuu Leo hii wajaribu tuu kuorganize show moja tuu jamaa atupigie hip hop zake kama taarabu alizomrisisha nay was mitego na apige kamwambie zake officialy king adunde na sindelela hadith maumivu kidato kimoja kama pata kalika ladha ni ile ile kama katunaga Jana yan Appreciated king kibaa
Eeh kumbe kiba aliimba Kidato kimoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] verse ya ngapi
 
Ooooooooooooohhhhh aje.... Huyo Ndio KING KIBA
 
Alipoimba na R. Kelly ndo ilikuwa atokee pale... lakini akauweka hadi leo hakunaga kitu.. hamfikii Mondi hata kwa mbali
 
Huyu bwana namkubal ajabu, anajua nn anachofanya, achana na hawa wapenda sifa singo moja tu tena inayong'aa wiki moja na kuchuja anajiona kamalza kaz,

CC wanaooga na kupendeza yaan wananiii...
Chekutua anaishi maisha yake huwa nafikiri mara mbili kama kiba angekuwa nanii!! Sipati picha
 
Kila kitu wanasubiri Diamond afanye na wao ndio wafanye, Diamond kapeleka 20ml GSM ati wao wakapeleka 21ml. Mnamtesa tu Ali Kiba maana uwezo wenyewe zero,bado anaishi kwa mama na umri umemkimbia. Hiyo 21ml si angenyanyua hata msingi wa nyumba.
Utakua unaishi Sigimbi wewe si bure.
 
Ila twende MBELE turudi Nyuma ALIKIBA ni msanii bora Tz , sijawahi tz kwa hawa VIJANA wa bongo fleva anaeweza PIGA show live ya kijana Kama KIBA
 
Ila twende MBELE turudi Nyuma ALIKIBA ni msanii bora Tz , sijawahi tz kwa hawa VIJANA wa bongo fleva anaeweza PIGA show live ya kijana Kama KIBA
Ulishawahi kuhudhuria show yoyote ya kiba anayopiga live? Utajuta kutoa hela yako kuangalia ujinga ule. Huwezi mlinganisha kiba na mtu kama Christian Bella.
 
Back
Top Bottom