sheriff john brown
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 717
- 714
Ali kiba kwa sasa mafanikio yake yapo mgongoni mwa diamond, amini usiami ndio ukweli huo. maana kila anachofanya diamond ndio nae kiba anaiga anamopita dai nakuacha ndio nae kiba anakuja kujifariji. mademu wazamani wa dai ndio wanampaisha kiba. Kwa kifupi dai ikitokea labda mungu kampenda zaidi, basi nae kiba kwishinei. Hivi Ali kiba kwa Dai nini atajiringanisha? Kazidiwa kila kitu nyimbo Kali, mkwanja ,mpaka mademu anakuja kubemba ma-x wa dai.Kila kitu wanasubiri Diamond afanye na wao ndio wafanye, Diamond kapeleka 20ml GSM ati wao wakapeleka 21ml. Mnamtesa tu Ali Kiba maana uwezo wenyewe zero,bado anaishi kwa mama na umri umemkimbia. Hiyo 21ml si angenyanyua hata msingi wa nyumba.