Tetesi: Alikiba kuja na radio yake "king FM"

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Habari za chini chini zinatanabaisha kuwa king kiba yupo kwny michakato ya kanzisha media yake, ambapo ataanza na radio kwanza then ndo TV itafaata.

Namtakia kila la kheri kwenye hili swala hii itasaidia kukuza soko la ajira na kupunguza idadi ya watu wasokuwa na ajira mtaani. Hail to the King kiba, Pop It In.
 
Biashara ndogondogo za vinywaji zimempa za uso, Mofaya imeishia tu kuonekana insta kithibitisho tosha kwamba huyu mcheza mpira wa kupigwa benchi hawezi biashara, alishindwa kuogelea mtoni ziwani atawezaje sasaa
Punguza wivu Mkuu. Na kuhusu mofaya kasema mda siyo mrefu zinaingia mtaani officially maana kulikuwa na mambo kidogo hayajakaa sawa.
 
Mofaya ilifanyiwa figisu na MO DEWJ pale bandarini kisa zinafanana jina na kinywaji chake.mambo mengine hayasemwi ndo maana mi alipotekwa hata nliona bora tu make tajiri mkubwa kama yule hawez kuleta figisu kwa machinga kama KIBA
 
Hivi Mo doweji ana bidhaa inaa jina linaanza na "Mo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…