Tetesi: Alikiba kuja na radio yake "king FM"

Hajawah sem ana ugomvi na yule bab mwenye mdomo mkubwaaaaa ila mdomo mkubwaaaa ndo mara amtaje huku mara kule mara apost hiki mara kile afu king katulia tu aoart from that biashara ya ku manage wasanii hajaanza diamond hata studio wasanii wengine wanamiliki wacheki navy kenzo na the industry before huo uchafu mnaouita wasafi record na wamemeneji wasanii akina wildad na huyo mdada wa kichaga so msitake kutuaminisha kwamba bwana mdomo mkubwa ndo huwa wa kwaaaaanza wengine wakaiga nyau nyie then king muda mrefu kabla ya huo uchafu mnaiuta wasa tv alikuwa na rockstar online tv ambapo tulioata shows zake na mambo mengine so isnt wonder kusikia anakuja na tv or whatever.
 
Kila anachofanya diamond , Ali Kiba lazima apige chabo. Huyu King wenu ana matatizo gani ?
Kwann hawi mbunifu ?
 
Vizuri sana,iwe na programu nzuri tu.

Wale wenye figisu figisu na WCB sijui na hapa napo wataleta figisu tena??
 
Ila kwa kweli hata mm nilishangaa demu hataki MOFAYA anataka MZINGA.
 
huyu jamaa kiukweli sio mbunifu kabisa yaani yeye mziki umemgaragaza,mofaya imemshinda sasa ameamua akopi na apest radio humu jf eti eeh muda si mrefu tutasikia na yeye amejirusha kutoka ghorofani kama yule chalii wa mwanza

mwandiko wako mbaya

roho yako mbaya

sasa mpaka unamfuatilia anakusaidia nini?

kama unajua bongo flavor na sio naija flavor hauwezi ukasema Kiba kashindwa muziki,

ubunifu ni management

pia watu hawawezi kuwa sawa

wewe umebuni nini mkuu na huo uandishi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…