Tetesi: Alikiba kuja na radio yake "king FM"

Tetesi: Alikiba kuja na radio yake "king FM"

Kitaeleweka tu kila atapo pita mtandale naye lazima apite wasafi records, king records, diamond karanga, mofaya, mond live band tumooo... diamond kumanage wasanii, kibakuli nae huyo, wasafi festival...... naye...yumo, wasafi tv wasafi radio kibakuli nae yu aja ..... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] yajayo yanafurahisha
Ukitaka kibakuli azimie mwambie kumaliza ugomvi na mondi aiseee ugomvi wake... Diamond uishi miaka mingi mwaya la sivo role model wako kibakuli atafulia vibaya mno.
Hajawah sem ana ugomvi na yule bab mwenye mdomo mkubwaaaaa ila mdomo mkubwaaaa ndo mara amtaje huku mara kule mara apost hiki mara kile afu king katulia tu aoart from that biashara ya ku manage wasanii hajaanza diamond hata studio wasanii wengine wanamiliki wacheki navy kenzo na the industry before huo uchafu mnaouita wasafi record na wamemeneji wasanii akina wildad na huyo mdada wa kichaga so msitake kutuaminisha kwamba bwana mdomo mkubwa ndo huwa wa kwaaaaanza wengine wakaiga nyau nyie then king muda mrefu kabla ya huo uchafu mnaiuta wasa tv alikuwa na rockstar online tv ambapo tulioata shows zake na mambo mengine so isnt wonder kusikia anakuja na tv or whatever.
 
Kila anachofanya diamond , Ali Kiba lazima apige chabo. Huyu King wenu ana matatizo gani ?
Kwann hawi mbunifu ?
 
Vizuri sana,iwe na programu nzuri tu.

Wale wenye figisu figisu na WCB sijui na hapa napo wataleta figisu tena??
 
Acheni uzushi. Kama biashara ya vinywaji imewashinda, kaeni pembeni.

Ndio maana hata kwenye matangazo mnayotangaza wenyewe, mademu zenu hawataki MOFAYA wanataka MZINGA !!

Mo Dewji ni gwiji la marketer. Hivi mtu utaachaje 400 ML kwa Tsh 600 au 320 ML kwa Tsh 500 tena Energy yenye ladha nzuri ukanunue MOFAYA inauzwa BUKU na BUKU JERO.

Labda kwa kumuungisha tu jamaa kama shabiki yake tu.
Ila kwa kweli hata mm nilishangaa demu hataki MOFAYA anataka MZINGA.
 
huyu jamaa kiukweli sio mbunifu kabisa yaani yeye mziki umemgaragaza,mofaya imemshinda sasa ameamua akopi na apest radio humu jf eti eeh muda si mrefu tutasikia na yeye amejirusha kutoka ghorofani kama yule chalii wa mwanza

mwandiko wako mbaya

roho yako mbaya

sasa mpaka unamfuatilia anakusaidia nini?

kama unajua bongo flavor na sio naija flavor hauwezi ukasema Kiba kashindwa muziki,

ubunifu ni management

pia watu hawawezi kuwa sawa

wewe umebuni nini mkuu na huo uandishi??
 
Back
Top Bottom