kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
- Thread starter
- #21
Wenzio hawataki kukubalihizo ni tetesi subili tuone kama atafanya icho kitu itakua vyema atazalisha ajira ndani ya nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzio hawataki kukubalihizo ni tetesi subili tuone kama atafanya icho kitu itakua vyema atazalisha ajira ndani ya nchi
Hahahahaaaa binadamu mna manenohuyu jamaa kiukweli sio mbunifu kabisa yaani yeye mziki umemgaragaza,mofaya imemshinda sasa ameamua akopi na apest radio humu jf eti eeh muda si mrefu tutasikia na yeye amejirusha kutoka ghorofani kama yule chalii wa mwanza
mo energy drinkHivi Mo doweji ana bidhaa inaa jina linaanza na "Mo"
Hahahahah nimependa hapo kwenye "....machinga kama KIBA."Mofaya ilifanyiwa figisu na MO DEWJ pale bandarini kisa zinafanana jina na kinywaji chake.mambo mengine hayasemwi ndo maana mi alipotekwa hata nliona bora tu make tajiri mkubwa kama yule hawez kuleta figisu kwa machinga kama KIBA
Benchi?Biashara ndogondogo za vinywaji zimempa za uso, Mofaya imeishia tu kuonekana insta kithibitisho tosha kwamba huyu mcheza mpira wa kupigwa benchi hawezi biashara, alishindwa kuogelea mtoni ziwani atawezaje sasaa
Hahahahah nimependa hapo kwenye "....machinga kama KIBA."
.
.
Mfalme wa watu wewe unamuita machinga?
Ni Mfalme kwenye tasnia ya muziki mkuu lakn katika biashara ya vinywaji bado ni chinga tu
Hairuhusiwi Kuiga Jina la redio nyingine,kuna redio ipo mkoani njombe inaitwa KING'S FM radio 104.1 njombe,92.9 Mbeya na 102.1 songea,so uyo jamaa aache kuiga majina ya biashara za watu,aliiga MO faya kutoka kwa MO dewji @mo energy drink,saizi anataka tena Kings fm/tv?inaonekana ni mkurupukaji huwa afanyi research,sasa nyie mafans msaidieni aanzishe brand unique Co kudandia vya watu asijekufungwa mkamsahau.Habari za chini chini zinatanabaisha kuwa king kiba yupo kwny michakato ya kanzisha media yake, ambapo ataanza na radio kwanza then ndo TV itafaata.
Namtakia kila la kheri kwenye hili swala hii itasaidia kukuza soko la ajira na kupunguza idadi ya watu wasokuwa na ajira mtaani. Hail to the King kiba, Pop It In.
Acheni uzushi. Kama biashara ya vinywaji imewashinda, kaeni pembeni.Mofaya ilifanyiwa figisu na MO DEWJ pale bandarini kisa zinafanana jina na kinywaji chake.mambo mengine hayasemwi ndo maana mi alipotekwa hata nliona bora tu make tajiri mkubwa kama yule hawez kuleta figisu kwa machinga kama KIBA
Acheni uzushi. Kama biashara ya vinywaji imewashinda, kaeni pembeni.
Ndio maana hata kwenye matangazo mnayotangaza wenyewe, mademu zenu hawataki MOFAYA wanataka MZINGA !!
Mo Dewji ni gwiji la marketer. Hivi mtu utaahaje 400 ML kwa Tsh 600 au Tsh 320 ML kwa Tsh 500 tena Energy yenye ladha tamu ukanunue MOFAYA inauzwa BUKU na BUKU JERO.
Labda kwa kumuungisha tu jamaa kama shabiki yake tu.
Jamaa kila kitu anaiga ila amshukuru huyo anayemuiga mana si haba anapatapataKitaeleweka tu kila atapo pita mtandale naye lazima apite wasafi records, king records, diamond karanga, mofaya, mond live band tumooo... diamond kumanage wasanii, kibakuli nae huyo, wasafi festival...... naye...yumo, wasafi tv wasafi radio kibakuli nae yu aja ..... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] yajayo yanafurahisha
Ukitaka kibakuli azimie mwambie kumaliza ugomvi na mondi aiseee ugomvi wake... Diamond uishi miaka mingi mwaya la sivo role model wako kibakuli atafulia vibaya mno.