Alikiba kutua Dar Jumanne hii, kula dinner na wadau muhimu

Alikiba kutua Dar Jumanne hii, kula dinner na wadau muhimu

Msanii wa muziki Alikiba Jumanne hii mchana ametua JK Nyerere Airport akitokea Afrika Kusini akiwa na tuzo yake ya MTV EMA – Best African Act.

 
Wote wanao beza mafanikio yamtu isitoshe hata pesa yakula ina mshinda lakini kutwa kukashifu mafanikio ya mtu kama huna huna tuu kubali yote maisha co umejifungia chumbani na li cm lako hatakula hujala masikin unabwabwaja tuuuu ' c diamond wala Ally wote nawatakia mafanikio mema pigeni kazi vijana waacheni wabongo na maisha yao ya uchochezi kwa jamii
 
Back
Top Bottom