Wote wanao beza mafanikio yamtu isitoshe hata pesa yakula ina mshinda lakini kutwa kukashifu mafanikio ya mtu kama huna huna tuu kubali yote maisha co umejifungia chumbani na li cm lako hatakula hujala masikin unabwabwaja tuuuu ' c diamond wala Ally wote nawatakia mafanikio mema pigeni kazi vijana waacheni wabongo na maisha yao ya uchochezi kwa jamii