IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Kusema ukweli tangu alikiba aamue kujiweka mbali na ushindani wa mziki wa kibiashara na diamond music industry hainogi tena.
Mziki kwa sasa umetawaliwa na vijana wa wcb tu.,hdi inachosha wanatoa nyimbo mpya Mara kwa Mara hadi inaboa.
Nilitegemea ushindani utakuwa juu sana baada ya kiba kuzindua leb yake na kuwatambulisha vijana wake.
Cha ajabu baada ya media tour wamekuwa kimya hakuna tena nyimbo hata wasanii wake hawajulikani kivile labda kwa wale wafuatiliaji sana wa music.
Kama anapita hapa jf naomba rudisha ule ushindani wa kibiashara.
Imefika hatua sasa wanashindanishwa WCB wenyewe kwa wenyewe sio kiba tena.
No music without business rival competition.
Ni sheria ya dunia nzima.
Miaka10 mnamuacha diamond anafanya mziki anavyotaka hapana hata Nigeria kuna davido/wiz
Imefikia point humsikii kiba tena kwenye tunzo za kimataifa km zamani,ukipanda daladala,bus za mikoani katika ngoma10 zinazopigwa ni WCB tu.