Alikiba kwanini unaruhusu WCB wanatamba?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Kusema ukweli tangu alikiba aamue kujiweka mbali na ushindani wa mziki wa kibiashara na diamond music industry hainogi tena.

Mziki kwa sasa umetawaliwa na vijana wa wcb tu.,hdi inachosha wanatoa nyimbo mpya Mara kwa Mara hadi inaboa.

Nilitegemea ushindani utakuwa juu sana baada ya kiba kuzindua leb yake na kuwatambulisha vijana wake.
Cha ajabu baada ya media tour wamekuwa kimya hakuna tena nyimbo hata wasanii wake hawajulikani kivile labda kwa wale wafuatiliaji sana wa music.

Kama anapita hapa jf naomba rudisha ule ushindani wa kibiashara.
Imefika hatua sasa wanashindanishwa WCB wenyewe kwa wenyewe sio kiba tena.
No music without business rival competition.

Ni sheria ya dunia nzima.
Miaka10 mnamuacha diamond anafanya mziki anavyotaka hapana hata Nigeria kuna davido/wiz
Imefikia point humsikii kiba tena kwenye tunzo za kimataifa km zamani,ukipanda daladala,bus za mikoani katika ngoma10 zinazopigwa ni WCB tu.
 
Akiamua anafudisha ushindani ni swala la kuka chini mnayajenga,unarusha jiwe kwenye mzinga wa nyuki inatosha.
Hawezi kushindana na WCB tayari wamemzidi mbali sana. Mimi ni muumini wa ukweli na ni miongoni mwa watu wanaopenda kazi za Ali Kiba zaidi ya Diamond (WCB) ila siwezi kuaminishwa kuwa Ali anaweza kutikisa WCB.

Ali hawezi kushindana na WCB.
 
Niliwahi kuandika kuhusu huyu bwana mdogo Ali, kuwa NO MORE hata nyimbo zake zimekuwa za kuunga unga na kupigiwa promo na mkewe wa marekani.

Ila nilitupiwa mawe sijui hujui muziki, mara wewe babu kalee wajukuu 😂!!
 
Niliwahi kuandika kuhusu huyu bwana mdogo Ali, kuwa NO MORE hata nyimbo zake zimekuwa za kuunga unga na kupigiwa promo na mkewe wa marekani.

Ila nilitupiwa mawe sijui hujui muziki, mara wewe babu kalee wajukuu [emoji23]!!
Du
 
Toa hoja za msingi kwann Ali hawezi
 
Hawezi kushindana na WCB tayari wamemzidi mbali sana. Mimi ni muumini wa ukweli na ni miongoni mwa watu wanaopenda kazi za Ali Kiba zaidi ya Diamond (WCB) ila siwezi kuaminishwa kuwa Ali anaweza kutikisa WCB.

Ali hawezi kushindana na WCB.
Nipe sababu za msingi mi naamini km alikiba akiamua kuwekeza anaweza,we ukumbuki kuna kipindi Ali alikuwa juu ya WCB tena peke yake?
 
Kusema ukweli tangu alikiba aamue kujiweka mbali na ushindani wa mziki wa kibiashara na diamond music industry hainogi tena.

Mziki kwa sasa umetawaliwa na vijana wa wcb tu.,hdi inachosha wanatoa nyimbo mpya Mara kwa Mara hadi inaboa.

Nilitegemea ushindani utakuwa juu sana baada ya kiba kuzindua leb yake na kuwatambulisha vijana wake.
Cha ajabu baada ya media tour wamekuwa kimya hakuna tena nyimbo hata wasanii wake hawajulikani kivile labda kwa wale wafuatiliaji sana wa music.

Kama anapita hapa jf naomba rudisha ule ushindani wa kibiashara.
Imefika hatua sasa wanashindanishwa WCB wenyewe kwa wenyewe sio kiba tena.
No music without business rival competition.
Ni sheria ya dunia nzima.
Miaka10 mnamuacha diamond anafanya mziki anavyotaka hapana hata Nigeria kuna davido/wiz
Kwani clouds awamsaidi Tena? Mh Johoo aka BASHA Wa Mombasa... Wakiendeke kumsuport atawasha WCB
 
Kusema ukweli tangu alikiba aamue kujiweka mbali na ushindani wa mziki wa kibiashara na diamond music industry hainogi tena.

Mziki kwa sasa umetawaliwa na vijana wa wcb tu.,hdi inachosha wanatoa nyimbo mpya Mara kwa Mara hadi inaboa.

Nilitegemea ushindani utakuwa juu sana baada ya kiba kuzindua leb yake na kuwatambulisha vijana wake.
Cha ajabu baada ya media tour wamekuwa kimya hakuna tena nyimbo hata wasanii wake hawajulikani kivile labda kwa wale wafuatiliaji sana wa music.

Kama anapita hapa jf naomba rudisha ule ushindani wa kibiashara.
Imefika hatua sasa wanashindanishwa WCB wenyewe kwa wenyewe sio kiba tena.
No music without business rival competition.
Ni sheria ya dunia nzima.
Miaka10 mnamuacha diamond anafanya mziki anavyotaka hapana hata Nigeria kuna davido/wiz
hajajiweka mbali ila game gumu mkuu unadhani hataki kutrend basi anaaka sana lakini vijana wa WCB wanapendwa hata waimbe takataka raia zinaelewa
 
Back
Top Bottom