Alikiba mambo hadharani, hakuna siri tena!!

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Amepost katika mtandao wa instagram na facebook pasipo kuandika chochote, wengi wametasfiri kwamba ameamua aweke usafiri wake hadharani!!

Sasa usishangae wale jamaa wengine nao wakapost meli yao!!
 
Wasanii wa TZ Njaa tupu yaani wanashindwa kuwa hata na ka charter kamoja tu kwa ajili ya movement hapa na pale.
 
Una Utani na kiba
Kaa kimya wewe hujui chochote, maneno ya kijiweni ya tokea mwaka 47 hayo.

Uliona kijiji chake?Na bado yupo kwenye matengenezo.
Picha ya kijiji tafadhali kwa hili nampa hongera sana
 
Kwahio siku akienda ikulu akapiga picha
Kisha kukaa kimya
Mtasemaje!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…