Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndege ya coastal aviation hiyo, no. zake n 5H - LEOAmepost katika mtandao wa instagram na facebook pasipo kuandika chochote, wengi wametasfiri kwamba ameamua aweke usafiri wake hadharani!!
Sasa usishangae wale jamaa wengine nao wakapost meli yao!!View attachment 440657
Duh, ina maana kiba anapanda hivi vidude dar mpaka mwanza na kufanya fanya stop over kila mkoa?ndege ya coastal aviation hiyo, no. zake n 5H - LEO
This is Five Hotel....... Lima Echo Oscarndege ya coastal aviation hiyo, no. zake n 5H - LEO
kitu pilatus hichoThis is Five Hotel....... Lima Echo Oscar
Kaa kimya wewe hujui chochote, maneno ya kijiweni ya tokea mwaka 47 hayo.Huyu ambaye hana hata kibanda cha kulaza mbavu, anabanana na dada zake kwa mama K/koo ndo anunue ndege?
Picha ya kijiji tafadhali kwa hili nampa hongera sanaKaa kimya wewe hujui chochote, maneno ya kijiweni ya tokea mwaka 47 hayo.
Uliona kijiji chake?Na bado yupo kwenye matengenezo.
Kweli ana kijiji cyo kwa watt waleKaa kimya wewe hujui chochote, maneno ya kijiweni ya tokea mwaka 47 hayo.
Uliona kijiji chake?Na bado yupo kwenye matengenezo.
Kweli ana kijiji cyo kwa watt wale
hahaha kwa hiyo ni yake? teh teh.Amepost katika mtandao wa instagram na facebook pasipo kuandika chochote, wengi wametasfiri kwamba ameamua aweke usafiri wake hadharani!!
Sasa usishangae wale jamaa wengine nao wakapost meli yao!!View attachment 440657
hahaaaaa umenichekesha sanaHuyu ambaye hana hata kibanda cha kulaza mbavu, anabanana na dada zake kwa mama K/koo ndo anunue ndege?
hahhahahahahahahahhahhaa SI TERMINAL 1 hapo jamani?hahaha kwa hiyo ni yake? teh teh.