Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Mbona simuoni Ally Kiba hapo?Amepost katika mtandao wa instagram na facebook pasipo kuandika chochote, wengi wametasfiri kwamba ameamua aweke usafiri wake hadharani!!
Sasa usishangae wale jamaa wengine nao wakapost meli yao!!View attachment 440657
atakua ñi raHisi wa k/koo na magogoñi.Kwahio siku akienda ikulu akapiga picha
Kisha kukaa kimya
Mtasemaje!?
Wallahi Nifah kwa Kiba, mmhh sijapata kuona
laki si pesa,naomba tuheshimiane tafadhali.You never know, labda kiba alishapita
Mmmmh! Umetisha Nifah.Ni ushabiki tu mkuu,namkubali hivyo najitoa kwa ajili yake.
Yupo nimpendaye zaidi yake,tena huyo ndiye hatari kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Thanks
Roger......you are readable 5/5This is Five Hotel....... Lima Echo Oscar
go aheadThis is Five Hotel....... Lima Echo Oscar
Fungua hii hapa chini
Nyumba mpya ya Ally Kiba yadaiwa kufunika ya Diamond
Piga kimya wewe(in Adam Mchomvu voice)Kaa kimya wewe hujui chochote, maneno ya kijiweni ya tokea mwaka 47 hayo.
Uliona kijiji chake?Na bado yupo kwenye matengenezo.
hana uwezo wa kumiliki hata Toyota crown ndio aje kumiliki ndege,,,hizo post zako katafute mapoti wenzako uwapostieAmepost katika mtandao wa instagram na facebook pasipo kuandika chochote, wengi wametasfiri kwamba ameamua aweke usafiri wake hadharani!!
Sasa usishangae wale jamaa wengine nao wakapost meli yao!!View attachment 440657
Yaani hawa wasanii wangejua jinsi watu mnavyotukanana humu kwa ajili yao wangewalipa.Kaa kimya wewe hujui chochote, maneno ya kijiweni ya tokea mwaka 47 hayo.
Uliona kijiji chake?Na bado yupo kwenye matengenezo.
Database ya baba yakoYadaiwa na nani,, kujazajaza database bure
Lima Echo Oscargo ahead