Alikiba mambo hadharani, hakuna siri tena!!

Alikiba mambo hadharani, hakuna siri tena!!

1480353400805.jpg
 
Juzi nimemsikia anasisitiza kuwa bado yupo kwenye nyumba ya kupanga! Najiuliza MTU una watoto 6 bado umepanga,una miaka zaidi ya 30 bado umepangaa? Ama kweli hii bongo balaa sasa utaenjoy kwenye nyumba yako ukiwa na miaka mingapi?

Alikiba badirika bhnaaa.....Japo upofu wa mashabiki wako unakuzuzua!

Nakumbuka Juzi Ruge alisemaa mashabiki muwaseme wasanii wenu wabadirike na wafanye maendeleo
 
Amepost katika mtandao wa instagram na facebook pasipo kuandika chochote, wengi wametasfiri kwamba ameamua aweke usafiri wake hadharani!!

Sasa usishangae wale jamaa wengine nao wakapost meli yao!!View attachment 440657
hana uwezo wa kumiliki hata Toyota crown ndio aje kumiliki ndege,,,hizo post zako katafute mapoti wenzako uwapostie
 
Kama ni yake basi wasanii wa tanzania mazezeta hakuna hata kiwanda ununue ndege mijinga
 
Nilisoma kkoo mchikichini na nilimuona kiba kwao kule bondeni tuition na hawezi kununua hiko ki ndege.Kashindwa kurekebisha kwao pale kwa wazazi ambapo na yeye anaishi ndio aweze kununua ka ndege hako? hamna lolote hapo
 
Kaa kimya wewe hujui chochote, maneno ya kijiweni ya tokea mwaka 47 hayo.

Uliona kijiji chake?Na bado yupo kwenye matengenezo.
Yaani hawa wasanii wangejua jinsi watu mnavyotukanana humu kwa ajili yao wangewalipa.
 
Back
Top Bottom