Masikio lazima yaote sugu kupanda hizo ndegeDuh, ina maana kiba anapanda hivi vidude dar mpaka mwanza na kufanya fanya stop over kila mkoa?
Masikio lazima yaote sugu kupanda hizo ndege
Nauli kuwa kubwa haijalishi...hizo ndege zipo siku nyingi. Zimetumika sana kwenda maeneo kama Mbeya, Katavi, Ruvuma na hata Bukoba...Masikio yanauma si mchezo sababu ya cabin pressure...lazima sugu ioteNazani ni nyie kutokua na ulewa wa usafiri wa anga ndege ndogo ni ghali kushinda izo mubwa isifikiri kua ndogo na nauli ndo iwe ndogo kwa apa kwetu chatter mara nyingi nauli ni mara3 ya ndege kubwa
Alienda mbugani Serengeti kubarizi naada ya kuhitimu miaka 30 yangu azaliwe,ndege hiyo ya kukodi maana hana ubavu kumilikiLooh!
At least ana uwezo wa kukodi,kwa ajiri ya birthday.Alienda mbugani Serengeti kubarizi naada ya kuhitimu miaka 30 yangu azaliwe,ndege hiyo ya kukodi maana hana ubavu kumiliki
Mwalimu, kumbe ndege pia zina watoto?? Hako kandege nadhani ni katoto ka Bombadier za JPM.... Kumbe mkulu alileta Bombadier dume na Jike...hahhahahahahahahahhahhaa SI TERMINAL 1 hapo jamani?
ila kuna watu huwa ni kwweli hawajui vitu au wameamua tu kujisahaulisha?
hahahahhahhahahhahhahahhahhahahMwalimu, kumbe ndege pia zina watoto?? Hako kandege nadhani ni katoto na Bombadier za JPM.... Kumbe mkulu alileta Bombadier dume na Jike...
Hongera kwa kujifungua salama pangaboi zetu
King anamiliki hekaluKwahio siku akienda ikulu akapiga picha
Kisha kukaa kimya
Mtasemaje!?
Tanzania yooote ina mpenzi-bomba 2,jiulize anaenda nayo wapi kabla hujawaza yaliyokufanya uandike hayaAmepost katika mtandao wa instagram na facebook pasipo kuandika chochote, wengi wametasfiri kwamba ameamua aweke usafiri wake hadharani!!
Sasa usishangae wale jamaa wengine nao wakapost meli yao!!View attachment 440657