Alikiba mambo hadharani, hakuna siri tena!!

Alikiba mambo hadharani, hakuna siri tena!!

Masikio lazima yaote sugu kupanda hizo ndege

Nazani ni nyie kutokua na ulewa wa usafiri wa anga ndege ndogo ni ghali kushinda izo mubwa isifikiri kua ndogo na nauli ndo iwe ndogo kwa apa kwetu chatter mara nyingi nauli ni mara3 ya ndege kubwa
 
Nazani ni nyie kutokua na ulewa wa usafiri wa anga ndege ndogo ni ghali kushinda izo mubwa isifikiri kua ndogo na nauli ndo iwe ndogo kwa apa kwetu chatter mara nyingi nauli ni mara3 ya ndege kubwa
Nauli kuwa kubwa haijalishi...hizo ndege zipo siku nyingi. Zimetumika sana kwenda maeneo kama Mbeya, Katavi, Ruvuma na hata Bukoba...Masikio yanauma si mchezo sababu ya cabin pressure...lazima sugu iote
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Alienda mbugani Serengeti kubarizi naada ya kuhitimu miaka 30 yangu azaliwe,ndege hiyo ya kukodi maana hana ubavu kumiliki
At least ana uwezo wa kukodi,kwa ajiri ya birthday.

Wewe unaweza hata kwa kufuatia mchele kyela?????
 
Rule of Thumb: Kama huna cha ku-post, tangaza tu kwamba hupendi show-off na maboya yatakuamini tu kwamba hupendi show-off!!!
 
hahhahahahahahahahhahhaa SI TERMINAL 1 hapo jamani?
ila kuna watu huwa ni kwweli hawajui vitu au wameamua tu kujisahaulisha?
Mwalimu, kumbe ndege pia zina watoto?? Hako kandege nadhani ni katoto ka Bombadier za JPM.... Kumbe mkulu alileta Bombadier dume na Jike...

Hongera kwa kujifungua salama pangaboi zetu
 
Mwalimu, kumbe ndege pia zina watoto?? Hako kandege nadhani ni katoto na Bombadier za JPM.... Kumbe mkulu alileta Bombadier dume na Jike...

Hongera kwa kujifungua salama pangaboi zetu
hahahahhahhahahhahhahahhahhahah
 
Amepost katika mtandao wa instagram na facebook pasipo kuandika chochote, wengi wametasfiri kwamba ameamua aweke usafiri wake hadharani!!

Sasa usishangae wale jamaa wengine nao wakapost meli yao!!View attachment 440657
Tanzania yooote ina mpenzi-bomba 2,jiulize anaenda nayo wapi kabla hujawaza yaliyokufanya uandike haya
 
Back
Top Bottom