Alikiba: Mange Kimambi ni shabiki wangu

Alikiba: Mange Kimambi ni shabiki wangu

The enemy of my friend is my friend (enemy)...which is which...!?

Kibakuli anasimama upande gani wa CCM (JPM)..
 
yaani huyu binti anavyoachia kiboya hivi..Serikali haijaamua tu kumtafuta..siku ikiamua hata wiki hamalizi

Hata wiki amalizi wanamfanyaje...??[emoji23][emoji23] imebidi nicheke tu maana naona hata wanainchi tumejua michezo ya serikali yetu ikikosolewa.
 
Mange ni balaa, Kiba usithubutu kumpa siri zako ipo siku atakugeuka. Refer uchaguzi 2015, wakati wa kampeni alikuwa ccm baada ya ushindi akahamia chadema
 
Back
Top Bottom