mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
MNAFKI MKUBWA WEWE..Alikiba mimi kama shaniki yako naomba usimamie msimamo wako uleule usikubali kuyumbishwa na mtu mnafki kama Diamond, ambaye amekuwa akikupiga vijembe mara kwa mara huku akiigiza kuwa anataka kupatana na wewe na muwe kitu kimoja
Mwambie akapatane kwanza na baba yake mzazi ambaye anamchukia ndio arudi kwako, haiwezekani mtu ashindwe kumsamehe au kupatana na mzazi wake aliyemtoa kiunoni alafu aje kwako mtu baki tu ajifanye kuwa anataka mpatane
Hata kumpa mkono skuile ya msiba ulijishusha sana ,kwani ilibidi Diamond aanze kwanza kumpa mkono baba yake mzazi ndio aje kwako yule mtu ni mnafiki nakushauri kuwa nae makini
Alikiba mimi kama shabiki yako naomba usimamie msimamo wako uleule usikubali kuyumbishwa na mtu mnafki kama Diamond, ambaye amekuwa akikupiga vijembe mara kwa mara huku akiigiza kuwa anataka kupatana na wewe na muwe kitu kimoja
Mwambie akapatane kwanza na baba yake mzazi ambaye anamchukia ndio arudi kwako, haiwezekani mtu ashindwe kumsamehe au kupatana na mzazi wake aliyemtoa kiunoni alafu aje kwako mtu baki tu ajifanye kuwa anataka mpatane
Hata kumpa mkono skuile ya msiba ulijishusha sana ,kwani ilibidi Diamond aanze kwanza kumpa mkono baba yake mzazi ndio aje kwako yule mtu ni mnafiki nakushauri kuwa nae makini
Hahahahahah...eti msemaji wa wasaniiSawa msemaji wa wasanii tanzania umesikika.
nakubaliana naweye. Ikiwa Masogonge alitimuliwa kwo na baba yake akiwa umri mdogo kidato cha pili, na baadae wakawa peace tu na kuwasaidia wazee wake. Je kua dume zima bado lina bifu na baba.
Nimempa respect kubwa marehemu baada yakujua habari ya historia yake.
Masogange hakutimuliwa ila aliamua mwenyewe kuondoka. Naseeb alitelekezwa na mzee kuanza kujirudi baada ya Naseeb kuwa Diamond.nakubaliana naweye. Ikiwa Masogonge alitimuliwa kwo na baba yake akiwa umri mdogo kidato cha pili, na baadae wakawa peace tu na kuwasaidia wazee wake. Je kua dume zima bado lina bifu na baba.
Nimempa respect kubwa marehemu baada yakujua habari ya historia yake.
ReallyKweli kabisa akapatane na baba yake kwanza kama kweli anajua kupatana sio unafiki
Mzee mchungu huyuDah mtotomtamuuu
PumbaDiamond anahitaji kupatana na kiba zaid kwa kua bifu lina manufaa kwa kiba sana kuliko diamonds
So akipatana tu mjini hapa watakula wapi kina kiba!!!!so ndo mama wanahamu na wanalihitaji haswaa bifu.mwenzao hapendi kibiashara zake kuonekana ana ugomvi na yoyote
Lakin bwana madharau,kichwa cha panzi kiba ndo kwanza anafikiria tumbo lake kupitia bifu hilo