Alikiba mwambie Diamond apatane kwanza na Baba yake ndio arudi kwako, Diamond ni mswahili na Mnafiki usimuamini

we fala lini amekwambia hapatani na baba yake?sema hana ukaribu kuz hakumlea.
 
Masogonge ndio Nani na wewe[emoji51]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani kupatana wapatane Korea Kusini na Korea Kaskazini kununa anune Marekani?! What a shithole uzi!!!
 
Kwani babaake hajamsamehe? Washasameheana kitambo kilichobaki ni kujutia makosa yake aliofanya ya kumtelekeza dogo na mamaake muache Sandra aendekee kula matunda Yule baba avune alichopanda
 
Halafu Ali Kiba anamuhitaji Diamond kuliko Diamond anavyomuhitaji Ali Kiba.
Najaribu kufikiri jinsi mDanganyika anavyoweza kuufahamu undani wa mtu mwingine kuliko muhusika mwenyewe.....

Ungesema Wema, Mobeto na wafananao....wanamuhitaji Domo zaidi kuliko yeye anavyowahitaji, ningeelewa.....!
 
Ki-msingi hakuna ugomvi kati ya diamond na baba yake. Kilichopo ni uelewa mdogo wa diamond. Diamond aliwekewa UKUTA na mama yake kwa kuelezwa(kupitia dhiki walizopitia) na kuaminishwa kuwa,zile shida zote,za kukosa Ada,viatu,uniform,chakula nk. Zilisababishwa na baba yake. Maneno hayo ukimueleza mtoto mdogo,ktk kipindi cha shida,hayamtoki!!

Kwa hiyo hata baada ya kukua,diamond aliendelea kuamini kile alichoelezwa na mama yake na amekishika hadi leo akiamini maisha yote mabaya aliyopitia yalitokana na kutengana kwa wazazi wake na baba kuondoka!!

Hili ni kosa la mama diamond kuweka ukuta(chuki) kati ya mtoto na baba. Lkn hakumueleza sababu za kutengana kwao. Diamond naye anafanya ujinga uleule kwa kumuadhibu baba yake,huku mafanikio yake wala hayatokani na mama yake. Mama yake hakuwa mwanamuziki kusema alilirithi,wala hayatokani na elimu aliyomsomesha. Shule hakumpeleka na hata darasani hakuwa na akili kutokana na lishe duni. Na hili la kukosa akili ndo linaendelea mpaka leo. Maana hata kukosa uwezo wa kutafsiri Jambo ni ukosefu wa akili. Kifupi mama yake na diamond ndo aliyemharibu diamond na yote anayofanya Domo kwa sasa ni matokeo tu..!!
 
Hivi kuna shabiki wa Kiba anayeweza kunijibu ni nini hasa so special alichonacho Kiba hadi Diamond awe na shida nacho?!

Kama kumbukumbu zangu zipo sawa; statistic pekee inayomweka juu Kiba over Diamond ni kuwa na mke pamoja na watoto 3 (inasemekana 4) kwa mama 3 tofauti!

Mbali na hiyo stats; kingine kipi?!
 
Ukipata jibu nitag na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…