DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
sahivi amekuja vzr mkuu ananyimbo inaitwa omrilo ..yaan maana yake moto ...ngoma kal sana..Saida Karoli naye sio 'Zilipendwa'?
Nimetoka kuusikiliza saiv wa kawaida sanaaaasahivi amekuja vzr mkuu ananyimbo inaitwa omrilo ..yaan maana yake moto ...ngoma kal sana..
Eti anasema Saida Karoli kwa sasa yuko vizuri na ana wimbo mpyaUnamtaka nani kama hao umechoka?
Ha ha ha. Labda ndio maana kawapa Promo ya bure mkuu!!Hao unaowapendekeza kushika nafasi zao mbona hawna uwezo
Mkuu hata mimi nimehisi hivyo. Mtoa mada ni wa "Kunyumba" pamoja na SaidaMbona kama promo ya saida hii
Umemsahau aslay....Kila kitu na wakati wake
Naona ngoma ikivuma sana mwisho upasuka sasa naona upepo wa Team diamond,Team Kiba umefika mwisho. Hii imetoka na wadau wa Muziki kuchoka na kuona kuwa uwezo wao wakuimba umebaki 2% tu.
Sasa umefika wakati wakuwanyang'anya mikoba na kuwapa wasanii wenye uwezo mzuri wakutunga nyimbo kama (Ben poul, Saida karoli ,Nandy ..nk ...ila sio Alikiba na Diamond wasiojuwa kutunga nyimbo
Hakika, aiseeMkuu hata mimi nimehisi hivyo. Mtoa mada ni wa "Kunyumba" pamoja na Saida