Alikiba na Diamond tumewachoka

Alikiba na Diamond tumewachoka

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kila kitu na wakati wake

Naona ngoma ikivuma sana mwisho upasuka sasa naona upepo wa Team diamond,Team Kiba umefika mwisho. Hii imetoka na wadau wa Muziki kuchoka na kuona kuwa uwezo wao wakuimba umebaki 2% tu.

Sasa umefika wakati wakuwanyang'anya mikoba na kuwapa wasanii wenye uwezo mzuri wakutunga nyimbo kama (Ben poul, Saida karoli ,Nandy ..nk ...ila sio Alikiba na Diamond wasiojuwa kutunga nyimbo
 
Hao unaowapendekeza kushika nafasi zao mbona hawna uwezo
 
Mabadiliko unayotaka yanaweza kuanzia na wewe kwa kutangaza kazi za hao

Ona umefungua uzi unalalamika hao unataka waongelewe.. hujarusha hata kideo chao kimoja.. kwa urahisi unaweka link tu ya youtibe kama wamo mule.. inatoka hiyoooooo

Nao waambie wajipaishe shaaaaa
 
Ukijitoa wewe, nani mwingine amemchoka king kiba?
 
Kila kitu na wakati wake

Naona ngoma ikivuma sana mwisho upasuka sasa naona upepo wa Team diamond,Team Kiba umefika mwisho. Hii imetoka na wadau wa Muziki kuchoka na kuona kuwa uwezo wao wakuimba umebaki 2% tu.

Sasa umefika wakati wakuwanyang'anya mikoba na kuwapa wasanii wenye uwezo mzuri wakutunga nyimbo kama (Ben poul, Saida karoli ,Nandy ..nk ...ila sio Alikiba na Diamond wasiojuwa kutunga nyimbo
Umemsahau aslay....
 
Back
Top Bottom