Alikiba na kundi lako ni heri muimbe Kaswida tu

Jifanye kama unajikuna kule youtube ukutane na keroro saa hii.upate kumaliza mwaka salama.
 
Alikiba katafuta vijana wake sijui kawaokota wapi huko, vijana wanabana pua hatari kuimba kwenyewe hawajui, Ngoma zote walizotoa ni mbovu

Vijana wote wana sauti za kuimba Kaswida na sio Bongofleva, Alikiba ni heri uache tu mziki kama huuwezi.

Kuimba bongofleva hakuhitaji talent wala a special voice kwani waimbaj wote wa Bongo fleva hawajuwi kuimba na si wanamuziki kweli kasoro hawa Jide, Hafsa, Banana, Kassim Maganga, Barnaba Boy
 
Sioni anachokosea sababu naye ndio mfumo wake wa kuimba. Sema mnataka kuforce watu wote tufanane mtazamo
 
Brother Unaponda Vijana Wenzako Ambao Wanatafuta Mkate Wa Kila Xiku Ukichek Ww Mwenyewe Unaish Kwa Baba Na Mama Hauna Hata Mchongo Wa Laki Kwa Mwez
 
Mleta uzi ni qm yaani umeona kaswida ndio wanabana pua, jaribu kuheshimu imani za watu!! sneenm kabisa ww
 
Jamaa sijui huwa anaimba nini! Nimejaribu kununua kazi zaki lakini bado hasomeki. Mwisho wa siku wasanii wajiongeze maana hii ni biashara na siyo kisa ni Mtanzania.
 
Alikiba katafuta vijana wake sijui kawaokota wapi huko, vijana wanabana pua hatari kuimba kwenyewe hawajui, Ngoma zote walizotoa ni mbovu

Vijana wote wana sauti za kuimba Kaswida na sio Bongofleva, Alikiba ni heri uache tu mziki kama huuwezi.

inakuwaje wana Trend?

kama hauwapendi ni wewe mkuu

jinga hili
 
Jamaa sijui huwa anaimba nini! Nimejaribu kununua kazi zaki lakini bado hasomeki. Mwisho wa siku wasanii wajiongeze maana hii ni biashara na siyo kisa ni Mtanzania.

umenunua wapi kazi zao?? duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…