Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikiba katafuta vijana wake sijui kawaokota wapi huko, vijana wanabana pua hatari kuimba kwenyewe hawajui, Ngoma zote walizotoa ni mbovu
Vijana wote wana sauti za kuimba Kaswida na sio Bongofleva, Alikiba ni heri uache tu mziki kama huuwezi.
Si mlimsifia ana sauti kama boss wakeKwenye wimbo huu 'masozy' huyo wa kwanza amebana nasa sauti hadi nikamuuliza huyo anayeimba ni mwanamke? Waacha kubana sauti kiasi hicho aisee.
Alikiba katafuta vijana wake sijui kawaokota wapi huko, vijana wanabana pua hatari kuimba kwenyewe hawajui, Ngoma zote walizotoa ni mbovu
Vijana wote wana sauti za kuimba Kaswida na sio Bongofleva, Alikiba ni heri uache tu mziki kama huuwezi.
Jamaa sijui huwa anaimba nini! Nimejaribu kununua kazi zaki lakini bado hasomeki. Mwisho wa siku wasanii wajiongeze maana hii ni biashara na siyo kisa ni Mtanzania.
wanatrend kwenye page ya soud na clouds?inakuwaje wana Trend?
kama hauwapendi ni wewe mkuu
jinga hili