Reghia
Senior Member
- Sep 29, 2016
- 126
- 113
Hata uwe na kipaji kikubwa kiasi gani kama huna juhudi na nidhamu ya kazi inayoshahabiana na kipaji chako believe me, sahau kutokaaa. Huwa najaribu kumfikiria Mark Zuckerberg, Michael Jordan, the late Steve Jobs, the late Michael Jackson, the late Mbaraka Mwinshehe, the late Marijani na wengine wengi ambao walikua na vipaji. Kama wasingetia juhudi kwenye kuvitumia vipaji vyao sidhani kama tungewajua kama tunavowajua leo.
So mimi nadhani Kiba aache kulewa na sifa juu ya sauti na kipaji cha kuimba alichonacho coz hata ndege ana sauti na anajua kuimba. Atie juhudi na determination atatusua na si kufikiri kuwa na kipaji ndo kila kitu, na hata fans zake lazima wajue hii kitu.