Alikiba na mashabiki zake understand this...

Alikiba na mashabiki zake understand this...

Reghia

Senior Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
126
Reaction score
113
Hata uwe na kipaji kikubwa kiasi gani kama huna juhudi na nidhamu ya kazi inayoshahabiana na kipaji chako believe me, sahau kutokaaa. Huwa najaribu kumfikiria Mark Zuckerberg, Michael Jordan, the late Steve Jobs, the late Michael Jackson, the late Mbaraka Mwinshehe, the late Marijani na wengine wengi ambao walikua na vipaji. Kama wasingetia juhudi kwenye kuvitumia vipaji vyao sidhani kama tungewajua kama tunavowajua leo.

So mimi nadhani Kiba aache kulewa na sifa juu ya sauti na kipaji cha kuimba alichonacho coz hata ndege ana sauti na anajua kuimba. Atie juhudi na determination atatusua na si kufikiri kuwa na kipaji ndo kila kitu, na hata fans zake lazima wajue hii kitu.
 
Ushauri kwa kiba
"Ukijifanya namba moja wakati si namba moja, hutaweza kuja kuwa namba moja"

Tusha washauri sana team kiba, hebu tuwe wahalisia kwani fake hawapati ushindi hata siku moja.

*bado AK ni msanii mzuri lakini
 
Ushauri kwa kiba
"Ukijifanya namba moja wakati si namba moja, hutaweza kuja kuwa namba moja"

Tusha washauri sana team kiba, hebu tuwe wahalisia kwani fake hawapati ushindi hata siku moja.

*bado AK ni msanii mzuri lakini
Hakika ...nilimjua alikiba kabla ya diamond... nilimjua alikiba wakati akiimba cindelella,na anasauti nzuri lkn lzm afikiri sauti tu haitamfanya aitwee king kama anavojipambanua ..lzma afanye kitu ch ziada
 
MASHABIKI WAKE NDIO WANAMUHARIBU KICHWA,KWA KUMPA SIFA HASIZOSTAHILI.
Haswaa... lzima ajue kuishi na mashabiki. Lzma apambanue hoja za mashabiki na uhaliisia wa anachotaka kukifikia la sivyoo asahau extra mafanikio
 
Hata uwe na kipaji kikubwa kiasi gani kama huna juhudi na nidhamu ya kazi inayoshahabiana na kipaji chako blv m sahau kutokaaa.. huwa na jaribu kumfikiria mark Zuckerberg, michael jordan, the late steve job, the late michael jackson, the late mbaraka munshehe,the late marijani na wengine wengi ambao walikua na vipaji kama wasinge tia juhudi kwenye kuvitumia vipaji vyao sidhani kama tungewajua kama tunavowajua leo... so m nadhani kiba aache kulewa na sifa juu ya sauti na kipaji cha kuimba alichonacho coz hata ndege anasauti na anajua kuimba . .. atie juhud na determination atatusua na sii kufikiri kuwa kua na kipaji ndo kila kitu, na hata fans zake lazima wajue hii kitu
umesha ambiwa Jokate ndo anamtia gundu,kuna mademu wengine NUKSI...
 
Ally kiba kuimba kwake sio tatizo kupendwa kwake sio tatizo

tatizo lake ni diamond
 
Back
Top Bottom