Akikataa mtasema ooh anaringa. Ni kawaida kuwasaidia wadogo hata yeye anapoimba na R Kelly kuna watu wanaona R Kelly anajirudisha nyuma. Lkn hata Mondi kuimba na Harmonize ni mfano wa kusaidia chipukizi.Kweli simba akizidiwa anakula hadi Nyasi, Watu wanakimbilia kimataifa, Kiba anarudi nyuma kuimba na waimba segere.
Sasa unamlinganisha Mond na Kiba? Mond wa kimataifa sasa hivi.Ana kolabo kibao zinafuata sasa huyu ndugu yetu anashangaza kitendo cha kuanza kupewa kolabo za kumponda Shishi Baby.Akikataa mtasema ooh anaringa. Ni kawaida kuwasaidia wadogo hata yeye anapoimba na R Kelly kuna watu wanaona R Kelly anajirudisha nyuma. Lkn hata Mondi kuimba na Harmonize ni mfano wa kusaidia chipukizi.
Ndio maana Mondi alishirikishwa na HarmonizeSasa unamlinganisha Mond na Kiba? Mond wa kimataifa sasa hivi.Ana kolabo kibao zinafuata sasa huyu ndugu yetu anashangaza kitendo cha kuanza kupewa kolabo za kumponda Shishi Baby.
hihihihihhhh...shishi anachapa vibao utasema nyani mzee,nahc nuh mziwangda itakuwa kamiss sana makofi ya shishi,sasa ameamua kumchokonoa...mbaya zaidi anataka kumsababishia na King wa kusadikika kuonja ladha adimu ya makofi ya shishi baebe!Ha ha ha balozi ft ganda la ndizi..... Ngoja shilole aje awazabe vibao
Msanii alikiba aka king kiba amerudi tena kwenye spika zako sasa hivi akishirikishwa na msanii nuh mzuwanda kwenye nyimbo mpya inayoitwa "jike shupa"
Wachambuzi wa mambo wanasema itakuwa colabo ya mwaka.
Kollabo hiyo inatarajiwa kutoka wiki hiiView attachment 341009
Ha haa eti wachambuzi wanasema ni kolabo ya mwaka.Msanii alikiba aka king kiba amerudi tena kwenye spika zako sasa hivi akishirikishwa na msanii nuh mzuwanda kwenye nyimbo mpya inayoitwa "jike shupa"
Wachambuzi wa mambo wanasema itakuwa colabo ya mwaka.
Kollabo hiyo inatarajiwa kutoka wiki hiiView attachment 341009
Ganda LA ndizi ndo nan tena?Ha ha ha balozi ft ganda la ndizi..... Ngoja shilole aje awazabe vibao
Nuhu ndo ganda la ndizi (mteremko things) lolGanda LA ndizi ndo nan tena?
wabongo hawana jema kabisaAkikataa mtasema ooh anaringa. Ni kawaida kuwasaidia wadogo hata yeye anapoimba na R Kelly kuna watu wanaona R Kelly anajirudisha nyuma. Lkn hata Mondi kuimba na Harmonize ni mfano wa kusaidia chipukizi.
Sasa unamlinganisha Mond na Kiba? Mond wa kimataifa sasa hivi.Ana kolabo kibao zinafuata sasa huyu ndugu yetu anashangaza kitendo cha kuanza kupewa kolabo za kumponda Shishi Baby.
Kafika kwa Juhudi zake, kama ni juhudi za kiba,mbona kiba yuko pale pale tokea aanze game? Acha ushamba weye.mnaotafuta nafasi ya Zari mko wengi sana
tatizo lako ni ujinga, ushamba na ushabiki wa kutokujua music ya Tanzania
Diamond kafika pale kwa sababu ya hao akina Kiba! kama haujui historia kaa kimya
btw wote ni watanzania, chuki za nini ? Kiba ni mkenya??
looser