Mwenye link ninapoweza kuupata huu wimbo, wasanii wa bongo hawajifunzi kutoka kwa mwalimu wao Diamond, PR yao ni mbovu, hawana mpangilio, diamond akitoa nyimbo tuu unaikuta kila mahali baada ya dk. chache...hawana ubunifu wakilewa viroba wanasahau hata kama kuna wimbo ameitoa inabidi ipigiwe promo