Yule mkuu wetu ukimruhusu kuongea tu lazima achafue hali ya hewa
Eg tetemeko halikuletwa na serikali...fanyeni kazi
Yaani yule jamaa angekaaga kimya atende tu si tuone ila akiongea lazima achafue hali ya hewa
The same to Alikiba yaani huyu dogo hajui kuongea na ikikosea akaongea na media kdg tu lazima achafue hali ya hewa
Sasa kesho yule mkuu anaongea kule kwenye mwenge sijui atachefua akina nani kesho??