Alikiba na yule mkuu wasirihusiwe

Alikiba na yule mkuu wasirihusiwe

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,053
Reaction score
1,418
Yule mkuu wetu ukimruhusu kuongea tu lazima achafue hali ya hewa

Eg tetemeko halikuletwa na serikali...fanyeni kazi

Yaani yule jamaa angekaaga kimya atende tu si tuone ila akiongea lazima achafue hali ya hewa

The same to Alikiba yaani huyu dogo hajui kuongea na ikikosea akaongea na media kdg tu lazima achafue hali ya hewa

Sasa kesho yule mkuu anaongea kule kwenye mwenge sijui atachefua akina nani kesho??
 
Alikiba ni mpuuzi wa wapuuzi


Na JPM anasema kile ambacho ni kweli hapendi kusema uongo kwa manufaa ya zero brains ili akishindwa kutekeleza waanze kumlaumu
 
Acha kumfananisha Raisi na Alikiba wewe. Alikiba hajielewi halafu anavyoona anashindwa kupiga hatua kwenye sanaa ndio anazidi kuchanganyikiwa akili zote zinahamia unyayoni
 
Back
Top Bottom