supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
huyo kiba aliyeko instragram ni mwanammke mwenzio?Wanaume mnafuatilia mambo ya instagram ha ha ha mpimwe aisee
Sasa swala kama hili mbona linaeleweka linamlenga diamondHajamtaja mtu hapo, Alikua mbugani akawaona simba akawajulisha fans wake kwamba amewaona simba original!
Kwani Kuna shida gani hapo?
Mbona diamond hajatajwa hapo?
Au ndio karusha jiwe gizani?
He he he he he he!
Huyo mtu akifanya hivo,utakuwa ni mjadala wa nchi nzima kwa wiki nzima.Chibu nae atatupia pic ya movie ya " god must be crazy" na kusema NAMWANGALIA BUSH MAN ORIGINAL
Habar za diamond hazikwepeki ni kama majiWanaume mnafuatilia mambo ya instagram ha ha ha mpimwe aisee
Mbona unajiharishia halafu Uso mkavuhuyu week hii yote alikua anatafuta kiki halafu hapati!
kaanza na pete ya kijani tukamtizama tu!
akaja na ile video ya snap ya ujanja ujanja
pia tukavunga
hakukoma akaja na ile kajivimbisha domo kama diamond tukampotezea!
hajaacha!!! mara kawaona simba original
mara aseme haogopi simba
na mke mdogo wake baraka akaitikia simba kwetu paka tu!! (maana vacay hii alienda na mke mdogo bi.baraka) jojo anauza mabegi
sijui diamond kawapa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
awanunue tu hakuna namna
Mkuu nawewe kumbe uko namna hii?Mbona kama anahangaika sana na Diamond?
Huenda labda naye anasumbuliwa na Diamond deranged syndrome😀.
Mkuu nawewe kumbe uko namna hii?
Kamtaja Domo?mbona kama kiba anatumia nguvu nyingi sana kumlima vidongouchwara chibu? shida nini? team kiba mmoja anijibu tafadhali!!
[emoji23][emoji23]huyu week hii yote alikua anatafuta kiki halafu hapati!
kaanza na pete ya kijani tukamtizama tu!
akaja na ile video ya snap ya ujanja ujanja
pia tukavunga
hakukoma akaja na ile kajivimbisha domo kama diamond tukampotezea!
hajaacha!!! mara kawaona simba original
mara aseme haogopi simba
na mke mdogo wake baraka akaitikia simba kwetu paka tu!! (maana vacay hii alienda na mke mdogo bi.baraka) jojo anauza mabegi
sijui diamond kawapa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
awanunue tu hakuna namna
[emoji23][emoji23][emoji23] msimwambie nasibu maana siku hiz hamcheleweshei mtu anampa za uso ..skuiz anashambulia hakai kimya anamvutia kasi tu...hii ya bushmen ataipata tu time will tellChibu nae atatupia pic ya movie ya " god must be crazy" na kusema NAMWANGALIA BUSH MAN ORIGINAL
Haya , tupelekeni hospitali basi.Wanaume mnafuatilia mambo ya instagram ha ha ha mpimwe aisee
Lazima watayanywa kwa ssssaanaHabar za diamond hazikwepeki ni kama maji
mbona mnakimbilia kuuliza hilo swali? bila kua wanaa, kila mwenye uelewa anajua kile na vingine vilivyopita hivi karibuni ni vijembe tu kwa msanii mwenzake mnamwita domo. mi nauliza tatizo nini mbona huyu jamaa anahangaika mno?Kamtaja Domo?
Atajibu tu mtoto wa tandale yule hawez kukaa kimya ..Sikuhiz hatutoi kiki tumegundua zinawafaidisha tunawafungia tu vioo wiki nzima anapost upupu wake sie twa post shoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mond na wcb hawatoi kiki tenaaa, uyo kibakuli nae atulie azeeke vizur kutwa kushindana na mtu ambaye hana ata wazo nae nasema hivi hatutoi kiki bure tunauzaaaaa mondi ichi kizee mtupori kinataka kufia kwako nn aalaaas!