Alikiba: Nawaona Simba ORIGINAL

Alikiba: Nawaona Simba ORIGINAL

Hajamtaja mtu hapo, Alikua mbugani akawaona simba akawajulisha fans wake kwamba amewaona simba original!
Kwani Kuna shida gani hapo?
Mbona diamond hajatajwa hapo?
Au ndio karusha jiwe gizani?
He he he he he he!
Sasa swala kama hili mbona linaeleweka linamlenga diamond
 
huyu week hii yote alikua anatafuta kiki halafu hapati!

kaanza na pete ya kijani tukamtizama tu!

akaja na ile video ya snap ya ujanja ujanja
pia tukavunga

hakukoma akaja na ile kajivimbisha domo kama diamond tukampotezea!

hajaacha!!! mara kawaona simba original
mara aseme haogopi simba
na mke mdogo wake baraka akaitikia simba kwetu paka tu!! (maana vacay hii alienda na mke mdogo bi.baraka) jojo anauza mabegi

sijui diamond kawapa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
awanunue tu hakuna namna
Mbona unajiharishia halafu Uso mkavu
 
Sikuhiz hatutoi kiki tumegundua zinawafaidisha tunawafungia tu vioo wiki nzima anapost upupu wake sie twa post shoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mond na wcb hawatoi kiki tenaaa, uyo kibakuli nae atulie azeeke vizur kutwa kushindana na mtu ambaye hana ata wazo nae nasema hivi hatutoi kiki bure tunauzaaaaa mondi ichi kizee mtupori kinataka kufia kwako nn aalaaas!
 
[emoji23][emoji23]
 
Chibu nae atatupia pic ya movie ya " god must be crazy" na kusema NAMWANGALIA BUSH MAN ORIGINAL
[emoji23][emoji23][emoji23] msimwambie nasibu maana siku hiz hamcheleweshei mtu anampa za uso ..skuiz anashambulia hakai kimya anamvutia kasi tu...hii ya bushmen ataipata tu time will tell
 
Kamtaja Domo?
mbona mnakimbilia kuuliza hilo swali? bila kua wanaa, kila mwenye uelewa anajua kile na vingine vilivyopita hivi karibuni ni vijembe tu kwa msanii mwenzake mnamwita domo. mi nauliza tatizo nini mbona huyu jamaa anahangaika mno?
 
Sikuhiz hatutoi kiki tumegundua zinawafaidisha tunawafungia tu vioo wiki nzima anapost upupu wake sie twa post shoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mond na wcb hawatoi kiki tenaaa, uyo kibakuli nae atulie azeeke vizur kutwa kushindana na mtu ambaye hana ata wazo nae nasema hivi hatutoi kiki bure tunauzaaaaa mondi ichi kizee mtupori kinataka kufia kwako nn aalaaas!
Atajibu tu mtoto wa tandale yule hawez kukaa kimya ..
 
Ninachomkubali mond anakaa kimya siku akijibu mapigo kila mahali kunachafuka
 
Back
Top Bottom