Alikiba: Nawaona Simba ORIGINAL

Alikiba: Nawaona Simba ORIGINAL

Akifanya hivyo diamond!
1. Media zitamuomba interview.
2. Mpinzani atatweet kwa mtangazaji kuomba interview ya kujibu
3. Atàanza kulalamika jinsi diamond anavyomfanyia.

I think ally kiba anatamani ata na yeye atukanwe atrend kama dimpoz.
[HASHTAG]#NasubiliMapovu[/HASHTAG]
 
vp tembo original pia ameenda kuwaona,yeye kam baloziiii?
 
Mapovu ya nn wakati wale anaowaona pale ni simba kweli,mkafilwe mbele huko na u team wenu halafu sijui mnapataga nini kwenye hizi debate za kisenge,hata ukimuonesha tiffa picha ya simba na picha ya baba ake ukamuuliza yupi simba na yupi ndo baba yake kwa kaumri kake bado atakujibu bila utata,ila nyie mijitu mizima vishabiki mandazi mnakataa hao sio simba orijino kumbe swala hao!!!!!?????
acha matusi mkuu,kuwa na busara sasa unapanik na kutoa maneno makali ivo kwanin? wew ndo unaonsesha uteam hap
 
kiba ameenda mbugani na amemuona simba ila naona team mond mnataka kumlazimisha aseme fisi badala ya simba aliyemuona [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
 
Haya basi ameona paka shume.
Mmefurahi wafuasi wa kibwetere wa madale? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sijaona anaekimbia kwa kiba kwenda mondi, Ila naona Kila asiempenda mondi pale kariakoo anakaribishwa na anakuwa mtu muhimu sana,
 
hayo mambo ya simba tumemwelewa.tatizo lipo kwenye miaka 30.wangapi mpo tayar kuchanga hela ya vpmo vya kuhakiki umri sahihi wa kiba?
 
Afanye mambo yake aachane na chibu amezoea kupata kiki kupitia chibu
Kwa hiyo ulitaka aandike caption NAWAONA FISI ORIGINAL wakati wale ni Simba original... Ushabiki ukizidi sana mnapoteza hata common sense
 
Wanyalu tunasema alonga ye iteseka naona team flani wanatokwa mapovu kwa vitu vya kawaida kabisa hii ni dalili ya kuchanganyikiwa
 
Back
Top Bottom