Alikiba - next door Arena

Alikiba - next door Arena

Tuliokua Jana ukumbini au tunafatilia kwenye mitandao show nzima ya alikiba" Funga mwaka na king kiba" tulete mrejesho.

Nakiri tu kwamba alikiba ni talented professional musician na atabaki kuwa hivyo forever yeye na kundi lake

Kiukweli show ilipendeza watu walikuepo wa kutosha sana ,show ilikua ya kibabe na kizazi zaidi!

Kiukweli alikiba hastaili kulinganishwa na msanii yoyote hapa bongo.

Cha mwisho nilichogundua ni kwamba " alikiba hashindani na mtu ila watu ndo wanashindana na mziki wake'

Karibuni mlete mrejesho wa hiyo kabambee

Sent using Jamii Forums mobile app
Amekupa shingapi umpigie chapuo, au wewe ndo alikiba NA pale unasema ni kundi msieeewe are you serious?
 
Kana ladha gani hako mkuu?

Iko poa kichizi .. nko nayo hapa bado inanpa energy
IMG_2677.JPG
 
kiba alifanya vizuri sana, show ilikuwa ya kufunga mwaka na ilikuwa kweli

all the way from conderela to kadogo..balaa

kitu live music na sauti za dhahabu
 
Kila kitu anamuiga Diamond, jamaa ubunifu zero. Diamond kamboost sana la sivyo saa hizi angeshaacha muziki wenyewe.

diamond katokea wapi?

Kiba anaanzaje kumuiga diamond? diamond alikuwa mshabiki wa Kiba, akapelekwa studio na Kiba, na kuambiwa aache rap na kiba, Kiba ni King, na tunamfalme mmoja tu

Kiba kaimba Live mwanzo mwisho

weka show ya hiyo mutu yako ikiimba live,....
 
Wanachokifanya WCB huko Nairobi ni unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya Ali Kiba.
 
Wanachokifanya WCB huko Nairobi ni unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya Ali Kiba.

inauma sana tunajua

ila ulikuwa mwaka wa kiba, game changer kabadili upepo wote wa muziki wa bongo

sasa mtaanza kupanick, kiba hashindani, na fans zake ni royal

kutoka nakshi nakshi mpaka kadogoo..Kiba ni unpredictable mkuu
 
Back
Top Bottom