Alikiba - next door Arena

Amekupa shingapi umpigie chapuo, au wewe ndo alikiba NA pale unasema ni kundi msieeewe are you serious?
 
kiba alifanya vizuri sana, show ilikuwa ya kufunga mwaka na ilikuwa kweli

all the way from conderela to kadogo..balaa

kitu live music na sauti za dhahabu
 
Kila kitu anamuiga Diamond, jamaa ubunifu zero. Diamond kamboost sana la sivyo saa hizi angeshaacha muziki wenyewe.

diamond katokea wapi?

Kiba anaanzaje kumuiga diamond? diamond alikuwa mshabiki wa Kiba, akapelekwa studio na Kiba, na kuambiwa aache rap na kiba, Kiba ni King, na tunamfalme mmoja tu

Kiba kaimba Live mwanzo mwisho

weka show ya hiyo mutu yako ikiimba live,....
 
Wanachokifanya WCB huko Nairobi ni unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya Ali Kiba.
 
Wanachokifanya WCB huko Nairobi ni unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya Ali Kiba.

inauma sana tunajua

ila ulikuwa mwaka wa kiba, game changer kabadili upepo wote wa muziki wa bongo

sasa mtaanza kupanick, kiba hashindani, na fans zake ni royal

kutoka nakshi nakshi mpaka kadogoo..Kiba ni unpredictable mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…