goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 805
- 877
Uyu mwamba Mungu kambariki sana.Alikiba anajua sana..now namsikiliza kwenye pini moja kashirikishwa na Timaya linaitwa number one,humo ndani Kiba kaua sana.
Hivi kwanini hawakuifanyia Promo hii nyimbo? Ni bonge la banger mkuuAlikiba anajua sana..now namsikiliza kwenye pini moja kashirikishwa na Timaya linaitwa number one,humo ndani Kiba kaua sana.
halafu kiba akishirikishwa ndio anakuwa mkali sanaKuna ngoma moja ya Darasa kamshilikisha King Kiba asee kwenye corus Kiba kaua,narudia tena Kiba kwenye corus kaua mbaya mbovu.Kiba ni mkali sana.