Alikiba ni msanii mwenye taste unique

Alikiba ni msanii mwenye taste unique

Sadala (Muuza Karanga) atanuna kumsifia sana Alikiba.
I hope hata yeye anajua Alikiba Ni murderer kwenye Bongo fleva .Hata yeye nafikiri huwa anasikiliza ngoma zake Kama sisi.alichomzidi Ni marketing promotion kwenye mziki wake jamaa anajitahidi (All in all tunaheshimu juhudi za kila mtu)
 
Tangu nimeanza kufuatilia mziki huu wa Kitanzania, Bongo fleva nimesikiliza nyimbo za wanamuziki wengi. Lakini huyu mwanamuziki Ana taste flani ukiwa unamsikiliza iko unique Sana. He knows how to sing, kiukweli tukiachana na drama au siasa kwenye mziki it's not a shame to say hata ambao wanamchukia they know ana kitu kikubwa so wanahofia uwezo wake.

Mimi binafsi nimejifunza kupenda mziki mzuri sio kupenda mwanamuziki ukija na sababu za kwamba haishi kistar, Hana madrama sijui ayo ndo biashara Mimi biashara zake hazinisaidii kitu Kama msikilizaji wa muziki napenda nienjoi mziki mzuri.
Taste unique mbona wengi walikuwa nazo na wanaendelea kuwa nazo mfano Kuna jamaa anaitwa Msafiri Kondo, Feruzi, Fid q, Chindo man, Lord eyez, Saida Caroli, Badman, n.k, hakuna kipya au cha ajabu hapo
 
Taste unique mbona wengi walikuwa nazo na wanaendelea kuwa nazo mfano Kuna jamaa anaitwa Msafiri Kondo, Feruzi, Fid q, Chindo man, Lord eyez, Saida Caroli, Badman, n.k, hakuna kipya au cha ajabu hapo
Hao wote wanaimba vizuri mkuu.Ila nimemuongelea Alikiba Kama Ni exceptional kwa sababu ameanza game muda mrefu lakini mpaka leo hatuishiwi hamu ya kumsikiliza anavyoimba.He got something special huo ndo ukweli (very talented)
 
Back
Top Bottom