Alikiba ni msanii mwenye taste unique

Sadala (Muuza Karanga) atanuna kumsifia sana Alikiba.
I hope hata yeye anajua Alikiba Ni murderer kwenye Bongo fleva .Hata yeye nafikiri huwa anasikiliza ngoma zake Kama sisi.alichomzidi Ni marketing promotion kwenye mziki wake jamaa anajitahidi (All in all tunaheshimu juhudi za kila mtu)
 
Taste unique mbona wengi walikuwa nazo na wanaendelea kuwa nazo mfano Kuna jamaa anaitwa Msafiri Kondo, Feruzi, Fid q, Chindo man, Lord eyez, Saida Caroli, Badman, n.k, hakuna kipya au cha ajabu hapo
 
Taste unique mbona wengi walikuwa nazo na wanaendelea kuwa nazo mfano Kuna jamaa anaitwa Msafiri Kondo, Feruzi, Fid q, Chindo man, Lord eyez, Saida Caroli, Badman, n.k, hakuna kipya au cha ajabu hapo
Hao wote wanaimba vizuri mkuu.Ila nimemuongelea Alikiba Kama Ni exceptional kwa sababu ameanza game muda mrefu lakini mpaka leo hatuishiwi hamu ya kumsikiliza anavyoimba.He got something special huo ndo ukweli (very talented)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…