ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Shida ni kwamba hilo jambo la kuwa unique utafikiri ni ajabu , wakati wasanii kibao wako unique na nimekutajiaShida yako ni nini hasa?..
Alikiba anajua sana,,au ulitaka asifie mwingine ndo ufurahi?
Hakuna kitu Kama hiko mkuu, ni Airtime anayo pewa tuu, wasanii wa Zaman wametelekezwa wengi wenye uwezo makubwa sanaaaa mpaka wanakula unga , Sasa Alikiba kusema Sadala tu kaitwa studio haya mambo uwezi kukuta kwa wasanii wengine wa ZamanHao wote wanaimba vizuri mkuu.Ila nimemuongelea Alikiba Kama Ni exceptional kwa sababu ameanza game muda mrefu lakini mpaka leo hatuishiwi hamu ya kumsikiliza anavyoimba.He got something special huo ndo ukweli (very talented)
Unateseka ukiwa wapi mkuu?Shida ni kwamba hilo jambo la kuwa unique utafikiri ni ajabu , wakati wasanii kibao wako unique na nimekutajia
Unataka wote tusifie vitu vya kawaida ?ahahahhahah
Acha ushamba wewe.Hakuna kitu Kama hiko mkuu, ni Airtime anayo pewa tuu, wasanii wa Zaman wametelekezwa wengi wenye uwezo makubwa sanaaaa mpaka wanakula unga , Sasa Alikiba kusema Sadala tu kaitwa studio haya mambo uwezi kukuta kwa wasanii wengine wa Zaman
Ishu ni uniqueness na kujua..Alikiba ni hatari..huitaji degree ya Muziki kutoka Havard University kugundua hili..otherwise useme tu mahaba yako ya kishamba yanakuchanganya.Shida ni kwamba hilo jambo la kuwa unique utafikiri ni ajabu , wakati wasanii kibao wako unique na nimekutajia
Ishu ni uniqueness na kujua..Alikiba ni hatari..huitaji degree ya Muziki kutoka Havard University kugundua hili..otherwise useme tu mahaba yako ya kishamba yanakuchanganya.
Mkuu ielewemitaa jealous is the last class to attend before you became a witchUnataka wote tusifie vitu vya kawaida ?ahahahhahah
Tukisema Alikiba anajua mziki sio kwamba hatuheshimu juhudi za Diamond .Tatizo wengi badala ya kufurahia mziki mmekua na ushabiki na watu kitu ambacho hautakaa ukaona na kufeel good music kwa sababu unakua Kama mateka eti umetekwa na team Fulani hata wakiimba vibaya unashangilia huo ni ujinga hasa ukiwa mtu mzima Kama sisi.Acha ushamba wewe.
Alikiba kashirikishwa na Barnaba,hiyo interview ilikuwa ni ya ku-premiere hiyo new joint ya Barnaba aliyomshirikisha yeye.
Diamond tutamsifia siku nyingine.
Leo tuna appreciate uwezo mkubwa alionao alikiba kwenye kuimba..he is one of a kind likija swala la bongo fleva..Ana muziki mmoja mkubwa sana ambao watu wote wanaojielewa wanaweza kuusikiliza.
Hampendi kabisa ukweli hii ndio shida, nimekwambia Ata Feruzi ni unique sanaaaa, au Ata Prof J yuko unique Sana kuanzia mashahiri mpaka sauti yake, huyu Alikiba alichowazidi wenzake ni support kubwa ya Media na huu ni mpango mkakati ambao lengo lake mwanzo ilikuwa kumshughulikia DiamondMkuu ielewemitaa jealous is the last class to attend before you became a witch
Ndio maana nikasema uniqueness mbona wasanii kibao wako unique mtu kama Prof J na Feruzi wapo unique na wanajitahidi kuimba , huyu Kiba alichowazidi hawa ni support tu ya Media ambayo mwanzo aliipata kimkakati kabisa ili Diamond ashughulikiwe sasa hapa kipi ni cha ajabuIshu ni uniqueness na kujua..Alikiba ni hatari..huitaji degree ya Muziki kutoka Havard University kugundua hili..otherwise useme tu mahaba yako ya kishamba yanakuchanganya.
1.Hivi wewe unafikiri Alikiba ni kichaa Kuja na story za Sadala siku chache kabla ya hiyo nyimbo? Zile ni hesabu ndio maana interview nzima sehemu kubwa walikomalia watajiwe huyo Sadala ni NaniAcha ushamba wewe.
Alikiba kashirikishwa na Barnaba,hiyo interview ilikuwa ni ya ku-premiere hiyo new joint ya Barnaba aliyomshirikisha yeye.
Diamond tutamsifia siku nyingine.
Leo tuna appreciate uwezo mkubwa alionao alikiba kwenye kuimba..he is one of a kind likija swala la bongo fleva..Ana muziki mmoja mkubwa sana ambao watu wote wanaojielewa wanaweza kuusikiliza.
Nyimbo ya kwanza ya alikiba sindelela imetoka 2006...mpaka 2021 ni miaka 15 imepita ..sasa unavosema wasanii wazamani wakati kiba Naye n wazamani ntashindwa kukuelewaHakuna kitu Kama hiko mkuu, ni Airtime anayo pewa tuu, wasanii wa Zaman wametelekezwa wengi wenye uwezo makubwa sanaaaa mpaka wanakula unga , Sasa Alikiba kusema Sadala tu kaitwa studio haya mambo uwezi kukuta kwa wasanii wengine wa Zaman
Alikiba alipewa support ya kutosha na media Asa clouds ili apambane na Diamond ,maana Kuna kipindi wenye mziki wao walikorofishana na Diamond, hii support hakuna msanii yeyote wa Zaman alieipata Ata nusu yake, Mtu kama Dully Sykes kaimba sana lakini support ni ndogo Asa miaka hii ambayo ushindani ulikuwa mkali Kati ya Kiba na MondiNyimbo ya kwanza ya alikiba sindelela imetoka 2006...mpaka 2021 ni miaka 15 imepita ..sasa unavosema wasanii wazamani wakati kiba Naye n wazamani ntashindwa kukuelewa
Jamaa kitu ubishi nadhani ndio imeganda kwenye ubongo wakeAcha ushamba wewe.
Alikiba kashirikishwa na Barnaba,hiyo interview ilikuwa ni ya ku-premiere hiyo new joint ya Barnaba aliyomshirikisha yeye.
Diamond tutamsifia siku nyingine.
Leo tuna appreciate uwezo mkubwa alionao alikiba kwenye kuimba..he is one of a kind likija swala la bongo fleva..Ana muziki mmoja mkubwa sana ambao watu wote wanaojielewa wanaweza kuusikiliza.
Feruzi Yuko wap?Ndio maana nikasema uniqueness mbona wasanii kibao wako unique mtu kama Prof J na Feruzi wapo unique na wanajitahidi kuimba , huyu Kiba alichowazidi hawa ni support tu ya Media ambayo mwanzo aliipata kimkakati kabisa ili Diamond ashughulikiwe sasa hapa kipi ni cha ajabu
Eti "aliletwa kumshughulikia Diamond"..Alikiba kitambo sana anatamba Kenya,Uganda,Burundi na Congo huko.1.Hivi wewe unafikiri Alikiba ni kichaa Kuja na story za Sadala siku chache kabla ya hiyo nyimbo? Zile ni hesabu ndio maana interview nzima sehemu kubwa walikomalia watajiwe huyo Sadala ni Nani
2.Hoja ya pili hakuna aliekataa uwezo wa Alikiba, nilichosema Sema mimi kuwa unique sio jambo geni Ata Prof J, ni unique kwa Mashahiri na sauti, na ni miongoni mwa watu walioshape mziki huu, Sema huyo Kiba yuko midomoni kwenu kwa sababu wakati fulani aliletwa kumshughulikia Diamond, baasii
Hii tabia ya kumtaja mond kila alipo kiba ndio inazidi kuonyesha ni namna gani mko kwenye tabu.Hampendi kabisa ukweli hii ndio shida, nimekwambia Ata Feruzi ni unique sanaaaa, au Ata Prof J yuko unique Sana kuanzia mashahiri mpaka sauti yake, huyu Alikiba alichowazidi wenzake ni support kubwa ya Media na huu ni mpango mkakati ambao lengo lake mwanzo ilikuwa kumshughulikia Diamond
Chawa wanazingua mwanangu, yaani nina uhakika hata mond mwenyewe akiwasoma anawashangaa[emoji23][emoji23][emoji23].Eti "aliletwa kumshughulikia Diamond"..Alikiba kitambo sana anatamba Kenya,Uganda,Burundi na Congo huko.
Alikuwa ni Artist number moja kipindi hicho Diamond anauza mitumba Tandale huko..No wonder akawepo kwenye ile project ya One8 kuiwakilisha Tz.
Kwahiyo acha uzwazwa.
Na Alikiba ameletwa lini kupambana na Diamond?